Bao la kisigino

Bao la kisigino

We nawe ni Mbulula tu,Fisadi wako kaenda kujipendekeza kwa wakubwa wake samaki ana nguvu akiwa majini lakini ukimtoa hana ujanja,nguvu ya Lowasa ilikua ndani ya CCM kwa sasa yupo kwenye foleni tu ya akina Mrema
rudi kwene topic man, acha kupuyanga
 
Kumbe ni wivu unaokusukuma kuandika hayo dhidi yake?,Andika wewe kama unadhani ni rahisi...mbona unaishia Ku comment tu!?
Namshauri tu sehemu anayofaa zaidi au ushauri hamtaki maana h watu wengi hawapendi kushauriwa lakini ukiwakuta walivyo bize kulaumu utadhani wao wapo tayari kushauriwa...unaona sasa wewe umeshachukulia mimi nina wivu
 
Tena inaripotiwa hivi: "Lowassa uso kwa uso na Magufuli" na wala siyo "Magufuli uso kwa uso na Lowassa"...yaani kifupi Lowassa ndo habari ya mujini...wampe tu chenji yake aisee vinginevyo watatawala kwa mauzauza!
Aisee wewe una uelewa mdogo yaani wakiandika Lowasa uso kwa uso na Magufuli nani Boss hapo? Duuu akili kuamia tumboni kazi sana
 
Aisee...halafu credits zikapewa mwingine! Hawa watu wana rohombaya Sana ujue Adharusi
Yani kwingine kooote alikoenda watu hawakuona lakini alipompa tu EL mkono na kusema huu ni muujiza imekuwa ni shida kila mahali
Mimi naona tatizo la huyu mtu liko kila mahali yani mpaka msemaji wa ccm bwana Ole kaongea. .!!!
Wewe una akili za kusahau au unajisahaulisha makusudi kwa sababu akili imeamia tumboni hayo matukio yote yalikuwa habari kubwa tatizo ni tumbo lako tu
 
Back
Top Bottom