Bans

Bans

Humu JF kuna kipindi bahari inachafuka sana,nimejifunza kwa hiki kipindi kifupi umuhimu wa kusoma alama za nyakati kuna baadhi ya majukwaa na thread si za kutembelea kipindi cha machafuko na mods wa huko wanapiga ndonga(ban) kama Manny Pacquiao.
Kuna thread yangu ilifutwa nilipouliza sababu nikajibiwa kwamba imefutwa kwa masilahi ya JF na wanaJF wote na kwa bahati nzuri nilimuelewa ila sikurudi kwenye hilo jukwaa kwa kipindi hicho coz kwa zile hasira pangechimbika.
 
Mimi wala sio mchokozi kihivyo. Mara nyingi huwa nachokozwa. Na nikichokozwa it's on. We'll go rounds.

Sitaki uzi ufungwe ila nitashangaa usipofungwa maana hawa watawala na viranja wa JF huwa hawapendi kukosolewa (ingawa wao nahisi watakuwa na mtazamo tofauti).

Ila kwa vile nimeshasema kuwa nitashangaa kama uzi hautafungwa, sitashangaa pia wakiuacha uendelee ili kuonyesha tu nilikuwa na makosa katika kusadiki kwangu kuwa utafungwa.

Tusubiri tuone.

Mz. Nyani, nionavyo mie hawatoifunga, na tusubiri tuone wapi ilipovinjari na kutawala BUSARA na HEKIMA pia.
Aidha nasoma kutoka kwako namna ya KUJIRIPUA (KUWASILISHA) kwa lugha ya kiungwana, lugha laini, lakini iliyobeba hisia kali, zenya mkazo wa kile ulichokidhamiria.
 
Jumatatu sa mbili kamili nikukute pale chini ya mti... Uje na kaunta 4 ...

Anagawa kuna mahali niliona memba wanalalamika kawagawia ban bila masikhara..

duh.....swaiba, yaani kiganda nacho mpaka turudi p.o box chini ya muembe?? Hahah katika mods niwapendao wa kwanza ni Roulette, naomba asije nipiga ban nikaishia kumchukia bure lol!!!
 
he he he, unamjua fang?

Utajua kama huwa ananigongea LIKE au la.
Mdanganye aone!

Tayari nimewasiliana nao na wameogopa, wamesema wewe hata ukitukana hautopigwa ban. Sasa uko free kuwatukana kongosho, sweetlady n.k. unaweza ukaanza hata kwenye sredi hii hii
 
Sasa acha nilog out mida za kwenda kujifanya kuangalia wagonjwa ili upate msosi wa bure anaoletewa mgonjwa hizi.
Mjini apa bana, si kila mwenye kitambi anafanya kazi ofisini.
 
mie leo niko agha kan, we nenda TMJ

kesho twende trauma center kule masaki.

Sasa acha nilog out mida za kwenda kujifanya kuangalia wagonjwa ili upate msosi wa bure anaoletewa mgonjwa hizi.
Mjini apa bana, si kila mwenye kitambi anafanya kazi ofisini.
 
Tayari nimewasiliana nao na wameogopa, wamesema wewe hata ukitukana hautopigwa ban. Sasa uko free kuwatukana kongosho, sweetlady n.k. unaweza ukaanza hata kwenye sredi hii hii
Hehehe, kipipi za kuambiwa changanya na zako mwaya, kloro ana nia ya kukupoteza jeiefu..
 
Lizzy niokoe
kila nalosema lawa kweli.


Afu umepotelea wapi?(sauti ya ukali)
Nikuokoe au nianze kutangaza biashara? Unasema watu wanayotaka. . . YANAKUA!!

Huku Mabwepande hamna network jamani!!(Sauti ya kubembeleza)
 
Ooops! nilikosea spelling, sore, hali yako honey?
Jana nilikuota tunalishana parachichi, nikaamka nikalia kama zoba. Lizzy utaniuwa jamani

Mi niliota tumehamia Mabagala pamoja!!Njoo basi tulishane uji wa mlenda walau na mie ninenepe loya!!
 
Jamani, natangaza rasmi kuondoka Uzi huu.
Ntachanganyikiwa lol

Lizzy naye hana hata msaada lol
Konnie umeshajua una kipaji. . .acha kukichezea.
Embu niitie binti mmoja hivi na babaye wote ni member humu.
 
hehehe hawa mods wetu samtaim wanauchapa kabla brekfast. Kuna kipindi walimlima jamaa Ban jukwaa la introduction kule. Ile jamaa anajitambulisha tu akalambwa cha uso hata post mbili hakufika. laleki!

Hahahah tablet ya kweli haya?!
 
he he he, wale wagumu sana kuita.
Ngoja nijipime nguvu.

Konnie umeshajua una kipaji. . .acha kukichezea.
Embu niitie binti mmoja hivi na babaye wote ni member humu.
 
Back
Top Bottom