Bans

Bans

Konnie umeshajua una kipaji. . .acha kukichezea.
Embu niitie binti mmoja hivi na babaye wote ni member humu.

hahahahah......yaani katika siku nimewahi cheka sana, ni leo kwenye huu uzi aisee!! Alipochomoka Gentleman....ndo kabisa ameua bendi, I couldn't help myself with it.....nimecheka mpaka ikabidi niamke lol!!!
 
Have u seen daddys babygal?
 
@Kongosho, SL & Kloro......hiyo pipi mwishoe mtaifanya iwe ladhaless jamani, maana naona kila mtu anaigea tafsiri yake lol!!!
 
Back
Top Bottom