Bans

Bans

nataka kuombewa
naogopa kila nayemwita anakuja.

Ila hii biashara wewe 30% bana.
Ujue hadi nimekonda kwa kuwaita hawa.

Konnie kipaji kipo aisee. . .
Sasa kama unavyojua mimi na wewe ishu zetu tunazimaliza na kuzifanya kifamilia zaidi, nategemea kuwa partner wako wapekee kwenye kazi na mapato kwa 50%. Ngoja nifanye mpango wa kukutangaza rasmi.
 
Sasa acha nilog out mida za kwenda kujifanya kuangalia wagonjwa ili upate msosi wa bure anaoletewa mgonjwa hizi.
Mjini apa bana, si kila mwenye kitambi anafanya kazi ofisini.

hahahahahah, ila kitambi chako wewe cha minyoo
 
Mi niliota tumehamia Mabagala pamoja!!Njoo basi tulishane uji wa mlenda walau na mie ninenepe loya!!

Acha nijipige malotion nitie timu. Halaf mzembe leo nakutokea na jinzi la wrangler. Watajibebaje wazushi.
Anza mikakati ya diet kabisa, ukiwa na mimi kunenepa guarantee kabisa
 
Hahahah tablet ya kweli haya?!
Yaani amyner ukiona jambo nimeongea mimi basi ujue ni kweli tupu. Kwenye nyumba za ibada wananitumia mimi kama ni ushahidi wa kiapo incase vitabu vitakatifu vikikuwepo mbali.
 
NN, nikijaribu kufikiria nadhani it is normal. The community is growing and the number of infraction committed is growing proportionally. Au unataka kusema hata in proportion kuna ban zaidi siku hizi kuliko zamani (what window frame)?
 
Well, my conclusions are not supported by any data; they are based solely on anecdotal observation.

I believe the powers that be would be in a much better position to know for sure whether or not there has been a spike in the issuance of bans.

But now compared to like two, three, or four years ago there has definitely been an increase of people getting banned.

Here lately I have noted some instances where the moderator deletes other members' posts just because he/she didn't like it when he/she was being cornered (without profanity being used or any other violation of the forum's rules).

I just don't remember such incidents happening back in the day.
 
Hakuna shida NN, tupo chit chat... I just wanted to know. Hata hivo ningeshangaa sana ungekua na data (as it would mean that umekaa na karatasi na penseli kuandika fulani na fulani have been banned on such and such date etc.)

Kusema kweli mi nadhani there could be a decrease. mfano: when there was only 5000 members, there would be an average of ban per day (just an example), sasa tupo 67000, if there is less than 13-14 bans per day it would mean that members are more disciplined or Mods are not moderating as they used to. Hata mimi sina data, nitaongea na admin to find out (and revert, nikipewa evidences)

This would be very unprofessional, if confirmed.It is in breach of moderation rules... As a mod I might be biased as sikumbuki kabisa kukutana na kitu kama hiki...
I will bring this post to the attention of all mods ili tujikumbushe majukumu yetu.
Thank you for all your observations, I hope they will help us moderate better.
Mambo mengine ni sawa lakini?
 
Hakuna shida NN, tupo chit chat... I just wanted to know. Hata hivo ningeshangaa sana ungekua na data (as it would mean that umekaa na karatasi na penseli kuandika fulani na fulani have been banned on such and such date etc.)

Duh! Hiyo ingekuwa kali mbona...

Kusema kweli mi nadhani there could be a decrease. mfano: when there was only 5000 members, there would be an average of ban per day (just an example), sasa tupo 67000, if there is less than 13-14 bans per day it would mean that members are more disciplined or Mods are not moderating as they used to. Hata mimi sina data, nitaongea na admin to find out (and revert, nikipewa evidences)

Yeah...hapo ni stats tu ndo zita kata mzizi wa fitna. Ila sijui kama watawala wanahifadhi takwimu kama hizo.

This would be very unprofessional, if confirmed.It is in breach of moderation rules... As a mod I might be biased as sikumbuki kabisa kukutana na kitu kama hichi...

I know a handful of people who can vouch for that. It's just not cool at all.

I will bring this post to the attention of all mods ili tujikumbushe majukumu yetu.
Thank you for all your observations, I hope they will help us moderate better.

That'd be very nice of you and it will be much appreciated.

Mambo mengine ni sawa lakini?

Other than this pollen (the pollen count is really high right about this time) that's kicking my butt, everything else is cool.

But it's also Sunday night....tomorrow I gotta go back to work again...and that's a bummer! This weekend just flew by so fast. I wish there was one more day to stay at home.

Wewe uko pouwa?
 
are you allergic?

Poa kabisa, I am home... hata sijui niongeze nini hapo. I am very happy :wink2:
 
Halafu kuna kale kamtindo ka kutuwekea nyota nyota kwenye comments zetu, sometimes kanakera sana!! Its okey kwa yale maneno machafu, lakini kuna maneno mengine are just normal na yanatumika sana, but yanawekewa nyota......meanwhile ukitembelea baadhi ya threads unayakuta unabaki tu kuweka alama ya kuuliza na ya mshangao pia!!!
 
unajua ukiongea kiinglish kigumu watu wanahisi unatukana, jaribu kutumia kizungu cha kawaida
 
Back
Top Bottom