Bans

Bans

hehehe hawa mods wetu samtaim wanauchapa kabla brekfast. Kuna kipindi walimlima jamaa Ban jukwaa la introduction kule. Ile jamaa anajitambulisha tu akalambwa cha uso hata post mbili hakufika. laleki!
 
Nyani Ngabu kitambo sana tangia bongocelebrity pamoko sana,pole kwa kula ban mara kwa mara ila jitahidi kuepuka vitu ambavyo vinasababisha ban.
 
Twisheni tunaanza lini? Alafu.....hivi na Roulette huwa anagawa ban?
Mimi watu wote wakipigwa ban nitavumilia lakini wakikupiga ban wewe kipipi hakyanani hapo ndio JF watajua kama niliwahi kufanya kazi maikrosoft ofis
 
Hivi, ninaota au ni kweli yanatokea?
Naomba mtu aniamshe kwenye hii nightmare.

Naombeni msaada wana jamvi, leo nitakuwa nimegusa majani mabaya sana.

hahahahaaa......leo kongosho naona jumba bovu limekuangukia swaiba wangu!!!
 
Twisheni tunaanza lini? Alafu.....hivi na Roulette huwa anagawa ban?
Jumatatu sa mbili kamili nikukute pale chini ya mti... Uje na kaunta 4 ...

Anagawa kuna mahali niliona memba wanalalamika kawagawia ban bila masikhara..
 
Back
Top Bottom