Banned: Asprin....

Jukwaa la wagonjwa na waganga wa jadi!
Mim huyooooo...ngoja nikamtafute Mag3 kule kwa historia ya uhuru wa tanzania Vs historia ya kariakoo gerezani.
 
Ukinijibu jana ulilala wapi na leo umeamkia wapi nitafurahi kweli.....lol
Lol....lovely wifi, nililala kanisani na ndipo nilipoamkia dear!... Sina raha wifi yangu... Kakako simuoni sielewi ndio kaniacha au vipi...wacha tu nibakie huku kanisani labda patanipa furaha ya kweli ... Love you wifi!
 
Jukwaa la wagonjwa na waganga wa jadi!
Mim huyooooo...ngoja nikamtafute Mag3 kule kwa historia ya uhuru wa tanzania Vs historia ya kariakoo gerezani.
Kweli kabisa Big' afu hapa mgonjwa ni Asprin na mganga ni The Finest..... Huoni mie nilivyokazana kuwafanyia maombi?
 
Orayt

Sred Closed

:smash::smash::smash:

Ban Uplifted

:crutch::crutch:😛oa😛oa:canada:
 
hehehe hii sredi nilichangia mimi?

Halaf fellow tablet ukimuona sweetlady mwambie sukari yangu ya diabete imeshuka aisee daktari kaniambia nikule something sweet ili ipande.
 
Hahahaha......... fellow tablet bana. Hebu soma huu waraka hapa chini. Tiba hii imesibitishwa na dakta Riwa na Dakta asilia MziziMkavu wa JF kwamba ni salama kwa matumizi ya binadamu.

Ukishaisoma usiidiliti.

khaaa! fellow tablet bana! mdalasini si unapikiwa pilau? Mimi nafata ushauri wa daktari wangu bana, lazima nipate something sweet.
 
Sasa huoni raha unakula dawa kwa hisani ya pilau? yaani ni sawa na umebanwa na kuachia kinyesi afu unapewa added advantage ya kumwaga na mkojo....
 
halaf umepata habari zozote kuhusu ujauzito wa husninyo? na king'asti inasemekana alianguka stejini na high hill zake kwenye sendoff ya lizzy. Dah kimenuka
 
Sina taarifa hizo, taarifa nlizo nazo ni za Keren_Happuch. Amefumaniwa akiwapiga chabo Mbu na Mj1. Nimeambiwa ukipigwa chabo na KH lazima ujauzito wa mapacha utokee. Ngoja tumhesabie siku MJ1. I-save hii post kwa ajili ya future reference.
 
Dah! inawezekana ni uzushi lakini lisemwalo bana! punde tu nimepokea e mail inabreak news kwamba ze finest kabambwa boda la Kenya, anavusha mawigi used bila kibali cha serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…