Banned: Asprin....




Heeee!!! By the way Mzima my sweet Wifi??
 
Khaa Leo huu upako umetoka wapi??
Ndoto kaka ndoto! We fikiria usiku wa kuamkia leo nimeota Asprin kawa padre afu mimi na King'asti tumekuwa mastista,...hapo ndipo upako uliponishukia kaka!....
 
Nlitaka kuitikia lakini nimekwaza na huo "ukaka". Umeanza lini?

Heeee!!! By the way Mzima my sweet Wifi??
Shem nikwambie kitu?

FAIDA YA KITUNGUU SWAUMU.
kitunguu ni kiambatanisho muhimu kidishi kimaendeleo katika sehemu nyingi ulimwenguni.
Zamani Egpta iliheshimiwa kuwa ya hadhi ya kimungu.

MAANDALIZI YA KITUNGUU SAUMU KIMADAWA:

Kitunguu saumu na asali. Jaza chupa ya glasi na vitunguu saumu vilivyomenywa na
kukatwa katwa polepole mwaga katika asali ya kwamba inajaza nyufa katikati ya fundo ya

kitunguu. Weka glasi kwenye sehemu ya joto yenye c 20oc. Katika siku mbili hadi wiki nne,
asali itanyonya juisi ya kitunguu saumu na kitunguu hicho kitachechemea na kutoingiza

mwanga usichuje. Tumia katika muda wa miezi 3.
Kitunguu Saumu dawa ya kikohozi

Ponda kijiko cha chai cha kitunguu saumu katika kipimo hicho hicho cha sukari au asali.
Tumia mara moja k.mf. kwa kikohozi.
Kitunguu saumu mafuta. Weka g 200 za vitunguu vilivyokobolewa saga kitunguu saumu na

kuweka kwenye chombo cha glasi na ongeza mafuta ya kutosha (au vizuri mafuta ya chakula)

funga. Funga jagi kwa kubana vizuri, na weka ikae kwenye sehemu yenye joto kama C 20
kwa siku tatu. Tikisa mara chache kila siku. Halafu weka kwenye sehemu ya baridi, bila

kuchuja. Tumia katika muda wa mwezi mmoja.
Kitunguu saumu „tinkcha". Loweka g 200 za vitunguu vilivyomenywa na kukatwakatwa
katika lita moja ya brandi au alikoholi 40-50%, kwa siku 14 kwenye C 20° katika chupa

yenye kufungwa vizuri bila kupitisha hewa. Tikisa chupa hiyo mara nyingi kwa siku. Chuja
vipande vya kitunguu saumu. Tinkcha inakaa muda wa mwaka.
MAPENDEKEZO YA MATUMIZI
Kula kitunguu saumu kibichi- hii ni bora.
Tumia katika kupika.

Kula vitunguu saumu vingi kuzuia magonjwa. Kitunguu saumu ni safi sana kwa mfano kuna
usemi kwamba, chakula chako kiwe ndiyo dawa yako, na dawa yako chakula chako. Hii ni
kweli tu, hata hivyo, kwa kitunguu saumu kibichi, kama ilivyo vitu vingi vyenye nguvu

vinaangamizwa katika kupikwa. Vitunguu saumu vibichi vinatia nguvu katika mfumo wa
kinga ya maradhi. Matumizi kawaida ya vitunguu saumu yameonyeshwa katika kupunguza
madhara ya magonjwa ya moyo, kiharusi, kansa, msukumo wa damu na homa ya mafua

makali (flu). Tunashauri kwa nguvu ya kuwa wanaoteseka kwa UKIMWI (AIDS) waweke
kitunguu saumu katika chakula chao cha kila siku, kupunguza nguvu ya magonjwa mengine.

Kwa sababu inafanya mara mbili, kwa matumizi ya nje na kwa ndani kama dawa ya kuua
wadudu, vitunguu saumu ni masaada wa kutibu magonjwa yote ya kuambukiza; Toifodi,
minyoo, bilhazia, malaria, damu yenye maambukizo na sumu n.k. Zaidi yake vitunguu saumu

vinaimarisha kumbukumbu, hupunguza shindikizo la damu na Homa, na vinafanya kazi
kupinga ugumu wa kuta za ateri (hardening of arteries). Vitunguu saumu pia vinapinga virusi
na dhidi ya kinyume cha mambo ya fangasi.


Majipu au uvimbe na chunjua.

Saga vitunguu saumu vibichi na funga vilivyopondwa kwenye sehemu ya jipu, uvimbe au
Chunjua mara mbili kwa siku na gandamiza. Anza matibabu haya mapema iwezekanavyo.

2. Amiba.
Katakata vitunguu saumu sawasawa vipande vidogo na chukua kijiko kikubwa 1 pamoja na
Chai mara tatu kwa siku (usitafune, kusaidia kupinga kutoa harufu mdomoni). Endelea na
Matibabu haya kwa siku 5. I (H-M Hirt) aliponywa mwenyewe toka Amiba kuharisha
damu kwa Tiba hii.

3. Malaria.
Katakata vitunguu saumu sawasawa. Meza kijiko kimoja cha vitunguu hivi mara tatu kwa
Siku na kunywa lita 2 za limao glasi ya chai kwa siku. Endelea na tiba hii kwa siku 5.
Angalia pia ukurasa wa 8 kwa ajili ya malaria.

4. Kisukari, shindikizo la damu, kinga ya ugumu wa kuta za arteri (hardening of the
arteries).
Kula vitunguu saumu kwa wingi, vitunguu saumu na vitunguu vinapunguza sukari katika
damu na kusawazisha damu ya cholesteroli, na shindikizo la damu. Badala yake chukua
matone 20 ya vitunguu tinkcha mara 3 kwa siku, basi hii ni pungufu ifuatayo:

5. Kikohozi, homa, sinusitis na kuvimba koo.
a) Kula klovu ya vitunguu saumu mara tatu kwa siku.
b) Chukua kijiko cha chai cha kitunguu saumu asali kila masaa machache.
c) Watoto wanaweza kutumia kijiko cha chai cha kitunguu saumu
mchanganyiko kila baada ya masaa machache.
d) Chukua kijiko cha chai cha kitunguu saumu mafuta mara 6 kwa siku.
6. Kandika.

Chukua kijiko cha chai cha kitunguu saumu au kitunguu saumu yenye asali, kila masaa
machache. Weka mdomoni kwa muda mrefu iwezekanavyo.

7. Fangasi inayoambukiza pamoja na ugonjwa wa ukungu kwenye vidole vya miguu.
Funga sehemu zilizoathirika kwa juisi ya vitunguu saumu vibichi vilivyopondwa au
mafuta.

8. Homa ya matumbo na maambukizo mengine.
Kama itatokea homa ya matumbo, bacillary, kuharisha damu, kifua kikuu, kipindupindu,
trypanosomiasis (ugonjwa wa kusinzia): Siku zote ongeza kitunguu saumu kwa tiba ya
kawaida.

9. Kinga ya mishipa ya damu.
Kitunguu saumu siku zote kinafanya damu kuwa laini na kukinga kutengeneza damu
kuganda ambayo inasababisha shida ya thrombosis. Hii ni muhimu kwa wagonjwa
wanaolala kitandani kwa muda mrefu.
10. Kuota meno utotoni.
Futa ufizi kwa fundo la kitunguu saumu.

MADHARA YAKE:
Kitunguu saumu kinaweza kukera ngozi hasa baada ya kutumia kwa muda mrefu. Epuka
kuhusisha kwenye macho.

I HOPE HOMMIE LEO ATAPEWA DOZI YA KUTOSHA.
 
Jamani Sweet Wifi.... Maandiko si yanasema "pendaneni"?? Unaenda kinyume na Matakwa ya bwana??

Shem namba ufafanuzi hapo:

Kinyume unamaanisha nini? I hope si "maumbile"
Bwana unamaanisha nini? hope si "mume"

Kwenda kinyume ya maumbile ya mume/bwana wako ni dhambi!
Haki ya Mungu tena.
 
Ndoto kaka ndoto! We fikiria usiku wa kuamkia leo nimeota Asprin kawa padre afu mimi na King'asti tumekuwa mastista,...hapo ndipo upako uliponishukia kaka!....
Hata kwenye promotion za Bia ya Serengeti huwa kuna masista wale wanaogawa vipeperushi
 



Nikwambie kitu shem??

Siku zoote najua kabisa kua huyu shem wangu wa ukweli SIMUWEZI, na naendana nae for the simple reason kua nampenda... nae anipenda hivo the kunilinda na the kumezea lolote ambalo nakukwaza thou once in a while wakemea... JUST when i feel sasa ODM nimempata na kumuelewa hua unakuja na "Kibom" narudi tena step one ya kuanza kukusoma. Ingekua hatuna mapenzi ya kweli (genuine) juu yetu naona ungenisumbua saana but THANK GOD!!!

Nashukuru ujumbe nimeupata na nitaufanyia kazi.... (hii post ni nzuri saana, hivi pale jukwaa la JF Doctor haifai kuingiza hii kitu for the benefit ya wengi??) Kuhusu hommie... My mission ni kuhakikisha he gets what ever he needs, na hii doze imeongezeka katika list....
 
1829 Asprin ndiyo ilitengenezwa hii dawa siku hizi imepotea..

Shuleni ukiumwa kidogo tu unapewa Asprin...lol..
 
Shem namba ufafanuzi hapo:

Kinyume unamaanisha nini? I hope si "maumbile"
Bwana unamaanisha nini? hope si "mume"

Kwenda kinyume ya maumbile ya mume/bwana wako ni dhambi!
Haki ya Mungu tena.



Mweeee!!! Whats it with you today with that part?? lol
 
Hahahaha hili liujiko nimeliprinti bana. Wife akiniletea za kuleta namrushia alisome ili ajue li-ODM lake kuna watu wanalipenda kwahiyo asiniletee za kuleta.

On Serious note: Mbichwa umevimba huo..... khaa! Senkyu!!
Wenye wivu wajinyonge.

Ngoja nikakutafutie notes nyingine bana......... mimi na wewe hatunyimani material LOLZ
 
Sante wifi kwa maandiko.... Kutongozana sio matakwa ya bwana....hayo ni matakwa ya shetani... 'Bwana asifiwe sana'
Halafu wewe!

MDALASINI NA ASALI

Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na
magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee.
Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama
itachanganywa na mdalasini wa kawaida.
Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa
yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za
umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.
Kama ifuatayo:
1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali
pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua
sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya
asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.
Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa
wagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila
asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na _
ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema.
2. kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo
maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu
unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.
3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu
zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha
kwenye kipindi cha wiki moja.
4. Maamhukizo kwenye kihofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja
{cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya
maji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu.
5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.
Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.
6. Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER
SORES}.
Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry
nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.

Halafu useme tena sikupendi........Ntakubwenga makwenzi!
 
1829 Asprin ndiyo ilitengenezwa hii dawa siku hizi imepotea..

Shuleni ukiumwa kidogo tu unapewa Asprin...lol..
Siku hizi imegeuka sumu ndio mana imepotezwa!.. Ole wako kama una ulcers afu unywe Asprin....
 
Hahaha! Aliyekuamsha leo, akuamshe na kesho tena! Ahsante kwa kugeuka daktari mtiifu... Barikiwa!
 

Leo nimeamini uzee dawa
 



Lolest... raha jipe mwenyewe ati.....
 
Sante wifi kwa maandiko.... Kutongozana sio matakwa ya bwana....hayo ni matakwa ya shetani... 'Bwana asifiwe sana'


Ukinijibu jana ulilala wapi na leo umeamkia wapi nitafurahi kweli.....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…