Banned: Asprin....

iribini ambia PAW nataka posts zangu, ohoo!

Last reminder hivoo!
 
haaaa! nimefurahi. kameza zp tupe mfano au kameza meaning of poverty, H.E.P, n.k
 
Khaaaa!
Jaman Paw where are you????
Plz popote ulipo Ban huyu babu hata kwa siku mbili tuuu!
We msichana taratibu........... Unamwona huyu ndugu yake hapa chini? Maishara haya hawachelewi kuchukulia siriaz..........Mi kukaa na Bigirita lupango, naogopa kufanya mauaji....

........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"...............


 
We msichana taratibu........... Unamwona huyu ndugu yake hapa chini? Maishara haya hawachelewi kuchukulia siriaz..........Mi kukaa na Bigirita lupango, naogopa kufanya mauaji....

Bigirita ashatolewa kwa dhamana, usiwe na wasi ukienda lupango hutamkuta!
 
Reasons: Kujipendelea wajukuu, kushabikia mila na kuukosoa ubazazi.

Period: 1 week

Zingatia sheria na kanuni za JF.

Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.

Wengine wote muwe na weekend njema.


================
Ban prolonged to 2 weeks



Hii thread imenikwaza!!!!!! Asubuhi yooote hii imenifanya ni ahirishe Coffee na kutafuta Amarula ilipo.... Khaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…