Banned: Asprin....

Chezea hapa uone....
Kudadeki...kumbe nina ban yangu.....!

Damn,
nimemuona mshkaji ameingia kwa nguvu ya ajabu,
yani:
One Post
One Reply
Topic Closed!
Shabash!!!


Hapa Papai halioni ndani..lol (Papai limeliwa na konokono..hehehe)
 
Nini papai....kuna konokono anatwanga watu za maisha....

Banned: RR
Reason: TGIF
Duration: Till 50% sober

Will that ever happen...you could as well write mpaka mwisho wa dunia!lol
Walau ungeandika;
Duration: Till 89% sober..hehehehehe
 
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu

sikiliza wewe -K- (you know what i mean), unaweza kulinganisha hii thread ni ile ya ukipromote ya kuukana uraia??

... Yo yo mind, -k- output....................... stinks!!
 
Banned: -k-Reason: Aliyo andika hapa chini.mia.
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu
 
[h=2]
Banned: Asprin........ Ban prolonged to 1 year[/h]
Reasons: asked for ban.

Period: 1 week

Zingatia sheria na kanuni za JF.

Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.

Wengine wote muwe na weekend njema.


================

 
Reasons: Kujipendelea wajukuu, kushabikia mila na kuukosoa ubazazi.Period: 1 weekZingatia sheria na kanuni za JF.Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.Wengine wote muwe na weekend njema.================Ban prolonged to 2 weeks
.....................Asprin haiwi banned ila in expire,......................sijui MEdical Stores Dept.................kama wapo makini kiasi hiki?
 
Babu, hata mimi na-second ur ban...

Aspirin: Banned
Reason: Anaiba wake wa wajukuu zake
Duration: Mpaka kieleweke
Banned: Mentor
Reason: Kumsingizia ODM
Duration: Unspecified....
 
[h=2]
Banned: Asprin........ Ban prolonged to 1 year[/h]
Reasons: asked for ban.

Period: 1 week

Zingatia sheria na kanuni za JF.

Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.

Wengine wote muwe na weekend njema.


================

Banned: zumbemkuu
Reason:kuongeza duration ya ban ya ODM
Duration: Permanent
 
Ban Gani hiyo mbona bado unachungulia weye
Babu unazeeka vibaya

haha umemuweza! Teh teh!


Nini papai....kuna konokono anatwanga watu za maisha....

Banned: RR
Reason: TGIF
Duration: Till 50% sober

PAW, rudisha mabandiko yangu tafadhali ohooo!

Natema mate chini na kabla hayajakauka niyaone mabandiko yangu hapo.


Wee tuache turaruane huku tutiane adabu bana!

Huyo mi sijamtambua bado aisee.In that case i like konokono too!

Chezea hapa uone....
Kudadeki...kumbe nina ban yangu.....!

Yako iko wapi?Anyway nimemuona! Mi nayataka mabandiko yangu seriously! Kuna watu humu wanataka tu usitofautiane nao, if u dare to, lazima wakutusi.Sasa sikopishi mtu hapa, tit for tat! Bring it on and i will dance to the rythm!

Kudadeki RR.Huna MM huku mwanza?

Babu, hata mimi na-second ur ban...

Aspirin: Banned
Reason: Anaiba wake wa wajukuu zake
Duration: Mpaka kieleweke

Ukisikia kumix ndo huko.

Mbona utamaliza woote sasa!

Nyie wote hapo juu: Banned!

Na Sweetlady hapo chini: Banned!


There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)
 
Hvi wakuu mmegundua wakati Mwingine Post za watu wenye ID zaidi ya moja hujionesha majina hayo unapoquote ukireply? Kwenye uzi huu nimegundua Yo Yo na -K- ni the same, and once niliona Woman of Substance na Regia Mtema. Cjui nitakula ban 4 that?
 
Babu huishiwi visa wewe, sasa umejipiga yelo kadi iliyochanganyika na redi humohumo..... Hahahhaah hahahah hahhah
Nimeomba ban nimenyimwa, nimejiamulia.

Kuanzia saa nne zijazo ntaondoka JF kwa mapenzi yangu kwakuwa nimegundua hata hii ban niliyojipa haifanyi kazi vizuri......
 
mh! ODM bana! Hii ban itaongeza nafasi ya cc kuinjoy picknick...
 
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu

maendeleo unajichelewesha mwenyewe kwa kujifanya siriaz sana kumbe hufanyi kitu. amka wewe usinziae.

babu hebu usile ban banaaa. kama jina lako lilivyo ASPRIN!!!!!!!! kitulizo cha maumivu. hahhahaha ukila ban hapa JF maumivu yatazidi. afu hatutapata ushauri wa daktari.
 
mh! ODM bana! Hii ban itaongeza nafasi ya cc kuinjoy picknick...
Umeshaniandalia makao?

Hehehe........ jipige BAN na wewe basi tukutane huku lupango......huwezi jua mipango ya Mungu

Wiselady-BannedReason-Anaomba utamu kwa babu thru pikinikiDuration-till faza notisi
Khaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…