You mean zile posts zilizotangazwa hivi karibuni?, sidhani kama tayari wameshortlist mkuu,I'm also waiting....Wakuu naomba kujua kama kuna aliewahi kujibiwa NMb (bank officers several possitions )
Ndio mkuuYou mean zile posts zilizotangazwa hivi karibuni?, sidhani kama tayari wameshortlist mkuu,I'm also waiting....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ,umechoka kusubiri mkuu,,,,wenzio intake iliopita waliomba Nov mwakajana lakin wakaitwa mwez wa nne mwaka huuWakuu naomba kujua kama kuna aliewahi kujibiwa NMb (bank officers several possitions )
Mbona watu weshaanza na kula mshahara?
hahahahahaha mbona hata mwezi bado haujaisha toka siku ya deadline.Mbona watu weshaanza na kula mshahara?
VP walifanyiwa interview ya mchujo au walikaguliwa vyeti tuu wakawekwa mzigoni ?Hahah ,umechoka kusubiri mkuu,,,,wenzio intake iliopita waliomba Nov mwakajana lakin wakaitwa mwez wa nne mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imenifurahisha sana...ha ha ha haa...umemkat8sha tamaa kabisaHahah ,umechoka kusubiri mkuu,,,,wenzio intake iliopita waliomba Nov mwakajana lakin wakaitwa mwez wa nne mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lucky UYou mean zile posts zilizotangazwa hivi karibuni?, sidhani kama tayari wameshortlist mkuu,I'm also waiting....
Sent using Jamii Forums mobile app
Interview mbili walifanya,,dsm then wakaenda kwenye zones walizoomba kumaliziaVP walifanyiwa interview ya mchujo au walikaguliwa vyeti tuu wakawekwa mzigoni ?
Shukrani kwa tarifa mkuu.Interview mbili walifanya,,dsm then wakaenda kwenye zones walizoomba kumalizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Looh. Nikajua badoInterview mbili walifanya,,dsm then wakaenda kwenye zones walizoomba kumalizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hawajatoa,hizi nazozungumzia Mimi ni intake ya mwakajana sio hizi za juzi
Ooh. Nikajua hizi za mara ya mwisho.Bado hawajatoa,hizi nazozungumzia Mimi ni intake ya mwakajana sio hizi za juzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio hizi,,nilikua najaribu kumuelekeza mdau hapo juu kuwa awe mvumilivu maana hata mwakajana Nov walitoa nafasi then watu wakaitwa April ,kwaio awe na subira
Na mie wacha niendelee kuwa na subira.Hapana sio hizi,,nilikua najaribu kumuelekeza mdau hapo juu kuwa awe mvumilivu maana hata mwakajana Nov walitoa nafasi then watu wakaitwa April ,kwaio awe na subira
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu ni wengi wameomba na wakitoa tu waliokua shortlisted basi itafahamika