Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
sasa hata ukienda interview c kupoteza mda tuu, mambo ya mizingo ya mibuyu na ndugunization c ndo habar yenyew ¿ chenga sana
Duuh, ngoja tupambane hivohivo one day yes, mizingo ya mibuyu tehtehhsasa hata ukienda interview c kupoteza mda tuu, mambo ya mizingo ya mibuyu na ndugunization c ndo habar yenyew ¿ chenga sana
Oooh that's great, hongera sana mkuu na vp mang'ombe unaendelea nayo au hiyo "cowman" is just a username?
na wewe unasubiri majibu ya hizo post..??Oooh that's great, hongera sana mkuu na vp mang'ombe unaendelea nayo au hiyo "cowman" is just a username?
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza uongo basi hujisikii aibu hata kidogo??Interview mbili walifanya,,dsm then wakaenda kwenye zones walizoomba kumalizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ya wakulima na wafugaji imeleta shida. Niliamua kuuza!Oooh that's great, hongera sana mkuu na vp mang'ombe unaendelea nayo au hiyo "cowman" is just a username?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mkiajiriwa huko tukija kuchukua pesa zetu Mnatuangalia vibaya.



Wakuu naomba kujua kama kuna aliewahi kujibiwa NMb (bank officers several possitions )
Kipi nimedanganya,? Umesoma tokea comment yangu ya mwanzo? Au umeidakia tu hii
Mwaka jana hakuna interview ilofanyika DSM ya NMB.Kipi nimedanganya,? Umesoma tokea comment yangu ya mwanzo? Au umeidakia tu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani hujanielewa,sijasema interview imefanyika mwakajana dsm ,nimezungumzia nafasi walizotoa mwakajana
Unaweza kuweka bandiko la hilo tangazo?Nazani hujanielewa,sijasema interview imefanyika mwakajana dsm ,nimezungumzia nafasi walizotoa mwakajana
Sent using Jamii Forums mobile app