Habari..mshaanz kutuma emaili kwa waliofanikiwa au badoTutawapa taarifa wadau mchakato utakapokamilika.
Asanteni.
Habari..mshaanz kutuma emaili kwa waliofanikiwa au badoTutawapa taarifa wadau mchakato utakapokamilika.
Asanteni.
Jamaa wako active sana wmekujibu papo hapo bila wenge.Habari..mshaanz kutuma emaili kwa waliofanikiwa au bado
Hilo tangazo la kuitwa interview liliwekwa wapi? Au walijulishwaje? Au unasema sio za mwaka huu?Interview mbili walifanya,,dsm then wakaenda kwenye zones walizoomba kumalizia
Sent using Jamii Forums mobile app