msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,687
- 8,798
Umeongea vema sasa kwa nini unasema ajira za mwaka jana wakati ukijua kabisa waliotwa hizo interview ni dss tena sio dss tu wale waliohudumu kwa angalau miaka 2? Haya ungeyaeleza ungeeleweka rahisi ndg.
Poa poa kiongoziUmeongea vema sasa kwa nini unasema ajira za mwaka jana wakati ukijua kabisa waliotwa hizo interview ni dss tena sio dss tu wale waliohudumu kwa angalau miaka 2? Haya ungeyaeleza ungeeleweka rahisi ndg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome vizuri alafu uje na majibu mapya mkuu.Niliona post kwenye page ya NMB wanasema hawajatangaza ajira ni uongo!
![]()
![]()
Ndyo nasubiri mkuuu vp kwani ?na kama kuna deal nipe basi kipindi hiki nnavyosubiri
Hapana siyo hizo mkuu, kuna zingine ambazo ndyo fake ukifatilia vzr.Niliona post kwenye page ya NMB wanasema hawajatangaza ajira ni uongo!
![]()
![]()
Hahaa polee, komaa na maparachichi yako ila angalia wafugaji wasije wakakuharibia pia ,maana umehama side A ya ufugaji umekuja side B ya ukulima hapo vita vipi kama bado hujaikwepa hivii lkn
Ngumu kumeza! Asante kwa taarifaWalichukua interns na volunteers kama strategy ya kupunguza costs za interviews na training. So kama kuna anayesubiri atasubiria sana yani. Watu washakula mashavu long time.
Mi nina mmbuyu head office, umenimegea taarifa tayari.
Aisee , nilikua nasubiria hapa doohNgumu kumeza! Asante kwa taarifa
Duh.. Kwa hiyo NMB ndo umeona sehemu sahihi mkuu na experience yako uliyonayo?kweli watu tunatofautiana
Kweli mkuu tunatofautiana. Natafuta ajira ya kudumu kwa sababu nilipo ni kwenye mradi next year December tunamaliza.Duh.. Kwa hiyo NMB ndo umeona sehemu sahihi mkuu na experience yako uliyonayo?kweli watu tunatofautiana
OK. OK. Nimekusoma mkuuKweli mkuu tunatofautiana. Natafuta ajira ya kudumu kwa sababu nilipo ni kwenye mradi next year December tunamaliza.
Thank you NMBTutawapa taarifa wadau mchakato utakapokamilika.
Asanteni.
Hivi kuna fixed account nawea kuweka USD tu NMB? Nikitumia ya watoto vipi?Tutawapa taarifa wadau mchakato utakapokamilika.
Asanteni.
Salaam Menison,Hivi kuna fixed account nawea kuweka USD tu NMB? Nikitumia ya watoto vipi?
Nataka kila mwezi naweka usd 200 ila kwenye fixed account hasa ya watoto for at least two years.
Sijui kama zipo za USD