Bank gani nzuri inayotoa card ya debit /Visa/ Master kwa ajili ya online perchasing?

alsam

Senior Member
Jun 16, 2016
184
152
Habarini wakuu mbali mbali

Naombeni mnijuze benki nzuri inayotoa card debitcard/Master or Visa kwa ajili ya Online perchasing
 
wote mmeongea ila hakuna kama equity nawapenda mnoo equity hawana makato hata mia, pili hawalimit manunuzi, kadi yake ni elfu kumi tu inakua active kufanya manunuzi, nawapenda mnoo
Hivi equity ndio ya wakenya?
 
Sidhani kama ipo. Bila makato wataishije?
FNB Bank - Kwa hii account: USD call Account
  • Mfano: umeweka USD 200 kwenye account yako, Baada ya mwaka ukienda kutoa unapewa yote hiyo dola 200 uliyoweka.
  • Hivyo kwa wale wanao hitaji kuhifadhi pesa na kuipata kama ilivyo napendekeza hii USD call Account,
  • Kama ujuavyo SHILLING inapolomoka kila kukicha, hivyo ni vyema kuhifadhi fedha yako katika mfumo wa USD au GBP (kwa GBP au EUR fungua account katika BancABC)
 
Dah mwalimu ubarikiwe kwa kutujuza hili, maana nilikuwa natafuta akaunti ya namna hii kwa ajili ya my kids, je ni kweli kwamba haina makato kabsaaa?
 
Back
Top Bottom