Bado niko bize Japan najifua na nikitoka Japan tu hapo Nakuwa Free kukiwasha na ratiba yangu ipo hivi ;
Nimebakisha mwezi mmoja kumaliza mafunzo yangu ya miaka mi 3 Japan Kisha nirudi home Joseon baada ya hapo naingia Arthdal hapo nitakaa nikifocus na mission yangu ya muda mfupi kwa muda wa mwezi mmoja kabla ya kwenda Masafa ya mbali Liadong.
Nikirudi Japan nakuja kuimaliza Kayngay iliyobaki
Busu la Kenge pamoja na supporters wake , sasa ale bata maana Nina muda mchache wa kuwashughulikia criminals nafocous na mafunzo kwanza.