Bando kuisha ndani ya muda mfupi Tigo kuna tatizo gani? Nahisi kupigwa mchana kweupe

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,882
3,620
Hiki kitu kimenitokea leo mchana, nimejiunga GB 1 tigo hao ila kama dk. 15 naambiwa nimetumia 75% ya data. Nikastuka, nikazima data.

Mara nikawasha tena kama baada ya dk. 10 hivi kuangalia sms za Whatsapp, mara heee naambiwa ushamaliza bundle lako. Nikashtushwa na huu umalizaji wa data. Nikaenda kwenye setting labda kuna vitu havipo sawa, ila nikaona hakuna shida.

Nikajiunga tena GB 1 nyingine lakini hali ikaendelea vile vile baada ya dk. kadhaa naambiwa ushatumia 75%. Nikaona hapa kuna kitu nafeli ngoja nipige simu Tigo.

100 customer care akaniambia tembelea duka letu la K/Koo na Makumbusho kwa msaada zaidi.

GB 2 zikakatika kisembe sana, nikaona sio kweli nikaenda Tigo shop jamaa kaikagua kasema app zina ji update zenyewe ndio maana bundle zilikuwa zinaenda sana. Ila mimi nilishaweka off isi download kupitia data labda wifi only.

Nikaona hamna jipya nikaondoka, ila lazima niwe hewani kutokana na business zangu ili nipate information kwa customers.

Nikajiunga GB ya 3 hii ndio nimechoka kabisa, maana simu ilikuwa haina chaji, nikaweka chaji na data off ila kuja kuiwasha nacheki sms za Whatsapp napata ujumbe huu, kula chuma hicho;

"Dear Customer, you don't have enough balance to access this service. Please top up your balance and dial *147*00# to buy packages. Enjoy Tigo services!"

Ikanibidi nipige simu tena Tigo na kujibiwa kama ifuatavyo;

"Simu yako unatumia 5G kwahiyo hivyo iko speed sana, kwa hiyo inakula MB mno kwasababu inapo download kwa sekunde moja tu inakupasa kutumia gb 1! Hapa ndio walinichosha, nikauliza tena kwa sekunde moja ndio ni GB 1?

Sikuamini, hadi sasa siamini na hata kama ni kweli basi pia sitoamini. Basi ndio hicho kilichonitokea ndugu zangu. hapa nina mpango wa kutumia bundle za voda nione, huenda labda kuna setting hazipo sawa.

Ndio hivyo ndugu zangu.

Screenshot_20230519-184039.jpg
 
Hiki kitu kimenitokea Leo mchana .Nimejiunga gb 1 tigo hao. Ila kama dk 15 naambiwa nimetumia 75% ya data .Nikastuka nikazima data .

Mara nikawasha tena kama baada ya dk 10 hivi kuangalia sms za Whatsapp ,mara heee naambiwa ushamaliza bundle lako .nikashtushwa na huu umalizaji WA data

Nikaenda kwenye setting labda Kuna vitu havipo sawa ,ila nikaona hakuna shida.

Nikajiunga tena gb 1 nyingine lakin hali ikaendelea vile vile baada ya dk kadhaa naambiwa ushatumia 75% . Nikaona hapa Kuna kitu nafeli ngoja nipige simu tigo

100 customer care akaniambia tembelea duka letu la kkoo na makumbusho kwa msaada zaidi.

Gb 2 zikakatika kisembe sana .nikaona sio kweli nikaenda tigo shop jamaa kaikagua kasema app Zina ji update zenyewe ndio maana bundle zilikuwa zinaenda sana. Ila Mimi nilishaweka off isi download kupitia data labda wife only........

Nikaona hamna jipya nikaondoka ila ,lazima niwe hewan kutokana na bness zangu ili nipate info kwa customers.

Nikajiunga gb ya 3 hii ndio nimechoka kabisa mana simu ilikuwa Haina chaji nikaweka chaji na data off ila kuja kuiwasha nacheki sms za Whatsapp napata ujumbe huuu

Kula CHUMA HICHO.
Dear Customer, you don't have enough balance to access this service. Please top up your balance and dial *147*00# to buy packages. Enjoy Tigo services!

Nikabidi nipige simu tena tigo

Nikajibiwa kama ifuatavyo.

Simu yako unatumia 5g kwahiyo Iko speed sana kwa hiyo inakula mb mno kwasababu inapo download kwa sekunde Moja tu inakupasa kutumia gb 1!!! .hapa ndio walinichosha nikauliza tena kwa sekunde Moja ndio ni gb 1!!!!

Sikuamini Hadi sasa siamini na hata kama ni kweli basi pia sitoamini

Basi ndio hicho kilichonitokea ndugu zangu.hapa Nina mpango WA kutumia bundle za voda nione .huenda labda Kuna setting hazipo sawa

Ndio hivyo ndugu zangu.View attachment 2627901
Wiki hii nimepigwa sana hata mimi
Nimejiunha Mb 245 za Halotel sijawashi wala.kufungua video yoyote just JF na Whatsap tu ndani ya masaa mawili naambiwa 75% imeisha na 20min later hakuna kabisa.
 
Hiki kitu kimenitokea Leo mchana .Nimejiunga gb 1 tigo hao. Ila kama dk 15 naambiwa nimetumia 75% ya data .Nikastuka nikazima data .

Mara nikawasha tena kama baada ya dk 10 hivi kuangalia sms za Whatsapp ,mara heee naambiwa ushamaliza bundle lako .nikashtushwa na huu umalizaji WA data

Nikaenda kwenye setting labda Kuna vitu havipo sawa ,ila nikaona hakuna shida.

Nikajiunga tena gb 1 nyingine lakin hali ikaendelea vile vile baada ya dk kadhaa naambiwa ushatumia 75% . Nikaona hapa Kuna kitu nafeli ngoja nipige simu tigo

100 customer care akaniambia tembelea duka letu la kkoo na makumbusho kwa msaada zaidi.

Gb 2 zikakatika kisembe sana .nikaona sio kweli nikaenda tigo shop jamaa kaikagua kasema app Zina ji update zenyewe ndio maana bundle zilikuwa zinaenda sana. Ila Mimi nilishaweka off isi download kupitia data labda wife only........

Nikaona hamna jipya nikaondoka ila ,lazima niwe hewan kutokana na bness zangu ili nipate info kwa customers.

Nikajiunga gb ya 3 hii ndio nimechoka kabisa mana simu ilikuwa Haina chaji nikaweka chaji na data off ila kuja kuiwasha nacheki sms za Whatsapp napata ujumbe huuu

Kula CHUMA HICHO.
Dear Customer, you don't have enough balance to access this service. Please top up your balance and dial *147*00# to buy packages. Enjoy Tigo services!

Nikabidi nipige simu tena tigo

Nikajibiwa kama ifuatavyo.

Simu yako unatumia 5g kwahiyo Iko speed sana kwa hiyo inakula mb mno kwasababu inapo download kwa sekunde Moja tu inakupasa kutumia gb 1!!! .hapa ndio walinichosha nikauliza tena kwa sekunde Moja ndio ni gb 1!!!!

Sikuamini Hadi sasa siamini na hata kama ni kweli basi pia sitoamini

Basi ndio hicho kilichonitokea ndugu zangu.hapa Nina mpango WA kutumia bundle za voda nione .huenda labda Kuna setting hazipo sawa

Ndio hivyo ndugu zangu.View attachment 2627901
Bila katiba Mpya tutaibiwa.hadi boxer zetu
 
Kwani hizo Mb zinaisha kwa sanabu ya Speed au kiwango cha Materials uliyotumia?
 
Unatumia 5G afu unaunga bando la buku mbili unategemea nini??

Wewe ni sawa na mtu anaetembelea Vieiti ya 200M afu anajaza mafuta Lita 2
 
Hiki kitu kimenitokea Leo mchana .Nimejiunga gb 1 tigo hao. Ila kama dk 15 naambiwa nimetumia 75% ya data .Nikastuka nikazima data .

Mara nikawasha tena kama baada ya dk 10 hivi kuangalia sms za Whatsapp ,mara heee naambiwa ushamaliza bundle lako .nikashtushwa na huu umalizaji WA data

Nikaenda kwenye setting labda Kuna vitu havipo sawa ,ila nikaona hakuna shida.

Nikajiunga tena gb 1 nyingine lakin hali ikaendelea vile vile baada ya dk kadhaa naambiwa ushatumia 75% . Nikaona hapa Kuna kitu nafeli ngoja nipige simu tigo

100 customer care akaniambia tembelea duka letu la kkoo na makumbusho kwa msaada zaidi.

Gb 2 zikakatika kisembe sana .nikaona sio kweli nikaenda tigo shop jamaa kaikagua kasema app Zina ji update zenyewe ndio maana bundle zilikuwa zinaenda sana. Ila Mimi nilishaweka off isi download kupitia data labda wife only........

Nikaona hamna jipya nikaondoka ila ,lazima niwe hewan kutokana na bness zangu ili nipate info kwa customers.

Nikajiunga gb ya 3 hii ndio nimechoka kabisa mana simu ilikuwa Haina chaji nikaweka chaji na data off ila kuja kuiwasha nacheki sms za Whatsapp napata ujumbe huuu

Kula CHUMA HICHO.
Dear Customer, you don't have enough balance to access this service. Please top up your balance and dial *147*00# to buy packages. Enjoy Tigo services!

Nikabidi nipige simu tena tigo

Nikajibiwa kama ifuatavyo.

Simu yako unatumia 5g kwahiyo Iko speed sana kwa hiyo inakula mb mno kwasababu inapo download kwa sekunde Moja tu inakupasa kutumia gb 1!!! .hapa ndio walinichosha nikauliza tena kwa sekunde Moja ndio ni gb 1!!!!

Sikuamini Hadi sasa siamini na hata kama ni kweli basi pia sitoamini

Basi ndio hicho kilichonitokea ndugu zangu.hapa Nina mpango WA kutumia bundle za voda nione .huenda labda Kuna setting hazipo sawa

Ndio hivyo ndugu zangu.View attachment 2627901
Mkuu afadhali hata tiGO wanaiba kidogo.......Halotel ndio majizi namba wani hapa nchini. Haya mamitandao ni ya kiqumer sana.
 
Unawajua voda? Voda wanaweza kukukwapulia GB 1 ndani ya dk 20.
Na ukiwapigia wakwambie ni speed.

Kuna mtu aliweka vocha ya elfu 50. Haijamaliza masaa 72 voda wakasema ameshatumia asilimia 75 ya bando lake.
Akapagawa 😂😂
Akawapigia akiwa ameshajam,, alijibiwa simple kabisa kwamba sms za kukaribia kuisha bando zimejituma kimakosa, bando lako bado linaonekana lipo.

Basi tukaconclude ni uwa wanaiba. Wanatuma sms hivyo ukiunga kingine, kile wanaiba.
 
Hiki kitu kimenitokea Leo mchana .Nimejiunga gb 1 tigo hao. Ila kama dk 15 naambiwa nimetumia 75% ya data .Nikastuka nikazima data .

Mara nikawasha tena kama baada ya dk 10 hivi kuangalia sms za Whatsapp ,mara heee naambiwa ushamaliza bundle lako .nikashtushwa na huu umalizaji WA data

Nikaenda kwenye setting labda Kuna vitu havipo sawa ,ila nikaona hakuna shida.

Nikajiunga tena gb 1 nyingine lakin hali ikaendelea vile vile baada ya dk kadhaa naambiwa ushatumia 75% . Nikaona hapa Kuna kitu nafeli ngoja nipige simu tigo

100 customer care akaniambia tembelea duka letu la kkoo na makumbusho kwa msaada zaidi.

Gb 2 zikakatika kisembe sana .nikaona sio kweli nikaenda tigo shop jamaa kaikagua kasema app Zina ji update zenyewe ndio maana bundle zilikuwa zinaenda sana. Ila Mimi nilishaweka off isi download kupitia data labda wife only........

Nikaona hamna jipya nikaondoka ila ,lazima niwe hewan kutokana na bness zangu ili nipate info kwa customers.

Nikajiunga gb ya 3 hii ndio nimechoka kabisa mana simu ilikuwa Haina chaji nikaweka chaji na data off ila kuja kuiwasha nacheki sms za Whatsapp napata ujumbe huuu

Kula CHUMA HICHO.
Dear Customer, you don't have enough balance to access this service. Please top up your balance and dial *147*00# to buy packages. Enjoy Tigo services!

Nikabidi nipige simu tena tigo

Nikajibiwa kama ifuatavyo.

Simu yako unatumia 5g kwahiyo Iko speed sana kwa hiyo inakula mb mno kwasababu inapo download kwa sekunde Moja tu inakupasa kutumia gb 1!!! .hapa ndio walinichosha nikauliza tena kwa sekunde Moja ndio ni gb 1!!!!

Sikuamini Hadi sasa siamini na hata kama ni kweli basi pia sitoamini

Basi ndio hicho kilichonitokea ndugu zangu.hapa Nina mpango WA kutumia bundle za voda nione .huenda labda Kuna setting hazipo sawa

Ndio hivyo ndugu zangu.View attachment 2627901
Tuliza mshono tunaomboleza Le Bebez, Free Education, Boma Yee, Case closed.
 
Pole mkuu, same incident imenitokea leo. Nimekagua sana simu yangu nione settings kama zina shida sikuona. Nikajiunga kifurushi kingine, nacho wakapita nacho faster zaidi bila hata ku browse chochote.
 
Alafu hawa tigo ni wezi nje njee..unajiunga GB yako moja then ikifikisha kwanzia MB 40 bando halifanyi kazi tenaa angali mitandao mingine MB 40 zinatumika mpk kubaki 0..sasa nini maana ya One GB?
 
Back
Top Bottom