Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

Makubwa yamezidi kugundulika kwenye sakata la upotevu wa makontena Bandari ya Dar na sasa inadaiwa kuwa kuna nyakati wahusika wamewahi kufuta kumbukumbu za meli nzima ya makontena na kuiba makontena yote.

Taarifa hizo zinavuja wakati kukiwa na mvutano kati ya chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinachodai kutohusika kwa namna yoyote na upotevu wa makontena zaidi ya 11,000 ambayo hayakulipiwa ushuru bandarini (Wharfage charges).

TAFFA wanaitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuwajibika katika upotevu huo ulioinyima Serikali kupitia mamlaka hiyo mabilioni ya fedha.

Chanzo: Raia Tanzania
 
Mimi sitachoka kusema kwa kuwa ni domo kaya.Nitasema kwa kuwa uchungu unanila,kwa kuwa rasilimali za nchi yangu zinafujwa bila huruma!Rais Magufuli zinduka ,zinduka baba taifa linaangamia.Raia hawataweza bandari na TRA.Draft Jeshi katika sehemu zote muhimu Bandarini na TRA huku ukitoa adhabu kali isiyo na huruma kwa wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika ufujaji wa fedha Bandarini na TRA.Rais wangu tunakushanga kuwapa muda wa kulipa wafanyibiashara waliotoa macontainer bandarini bila kulipa kodi,ni watuhumiwa hawa waadhibiwa kama wahujumu uchumu.Wengine watajifunzaje?Bado adhabu ni nyepesi mno tatizo litaendelea.

Kwa kweli hatukuwa na serikali! Watu walimshambulia sana Mnyika, ila sasa ukweli wa tathmini ya Mnyika unajitangaza wenyewe! Hivi JK anapata wapi ujasiri wa kujitokeza hadharani kuongea na media?
 
Ndilo kosa kubwa tulilotaka kulifanya na ndilo hilo hilo linalomtesa JPM.
Angalia nchi kama Mexico, kuna billionaires lakini unapomgusa don yoyote kila mmoja maisha yake yanakuwa shakani. Niliona juzi wanamzika mayor wa mji mmoja baada ya kuuliwa na magenge ya matajiri haramu kama hawa tuliokuwa tunajaribu kuwatengeneza!

tayari hii ni mafia state, kwanini magufuli hawezi kwenda kwenye kiini cha hayo majipu!? kwanini mijipu yenyewe ya ukweli haitumbuliwi? hapa anatumbua tu rashes...hata chunusi zenyewe hazishikiki...
 
Pale bandarini usishangae ukaambiwa ulipie ushuru wa shati ulilovaa.
 
Mimi sitachoka kusema kwa kuwa ni domo kaya.Nitasema kwa kuwa uchungu unanila,kwa kuwa rasilimali za nchi yangu zinafujwa bila huruma!Rais Magufuli zinduka ,zinduka baba taifa linaangamia.Raia hawataweza bandari na TRA.Draft Jeshi katika sehemu zote muhimu Bandarini na TRA huku ukitoa adhabu kali isiyo na huruma kwa wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika ufujaji wa fedha Bandarini na TRA.Rais wangu tunakushanga kuwapa muda wa kulipa wafanyibiashara waliotoa macontainer bandarini bila kulipa kodi,ni watuhumiwa hawa waadhibiwa kama wahujumu uchumu.Wengine watajifunzaje?Bado adhabu ni nyepesi mno tatizo litaendelea.

Chini ya serikali inayoongozwa na 'chichiem' utasubiri saaaana, sana tu. chichiem ndio lifeblood ya uhujumu uchumi wa hili taifa.
Ni hivii, mbuzi wa kafara wachache watatolewa, vijipele flani flani vitatumbuliwa, majipu madogo na ya kati yatapewa muda usiokuwa na ukomo wa kujitathmini... then kinachofwata...
chichiem ni ile ile heee, ni ile ile ee...chaguo lenu milele chinchiii, mmeipenda wenyewe chinchiiii, mtajijua wenyewe...waaacha tuisome number heee, chichiem mbele kwa mbeleee
 
Last edited:
HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar

Tutumie walau common sense
Nafikiri bado hujasikia kuwa alikuwepo Home Shopping Centre sliyekuwa ndiye "agent " wa TRA kuagiza na kuleta makontena moja kwa moja toka China.
 
Mkuu...Hivi unaelewa unachosema?

Hakujawahi kutokea tangu bandari ianzishwe meli za makontena toka china zikashusha mzigo wote Dar..Home shopping alikuwa haagizi meli nzima..Bali makontena yanapakiwa kwenye meli
 
Aibu sana kusikia habari kama hizi. Inabidi tuwe serious sasa na kuendesha maisha na uhai wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom