Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Nadhani mpango wa kuiuza bandari nzima kwa mwekezaji kama ule tunaotaka kufanya kwa TANESCO ulikuwapo.Soon bandari nzima itaibiwa.
Nadhani mpango wa kuiuza bandari nzima kwa mwekezaji kama ule tunaotaka kufanya kwa TANESCO ulikuwapo.Soon bandari nzima itaibiwa.
Ni UVIMBE!Nathani Tanzania ilishafikia kuwa mafia state. serikali ikubali ina deal na mafia kwani ili sio jipu limepitiliza
ha ha ha ha ha ha....Vipi bandari ipo lakini?
Ndilo kosa kubwa tulilotaka kulifanya na ndilo hilo hilo linalomtesa JPM.Nathani Tanzania ilishafikia kuwa mafia state. serikali ikubali ina deal na mafia kwani ili sio jipu limepitiliza
Kama haipo wale waliokumbwa na bomoabomoa wahamie pale au imeacha bonde..imeibiwa na hiyo
Kwa hii serikali ya ccm hakuna mwenye uwezo wa kukamua hayo majipu ya bandari, tunaongopeana tuHapo bandarini majipu bado hayajakamuliwa kabisa naona wamebip fire tu.........!!!!
imeacha bonde hamna kituKama haipo wale waliokumbwa na bomoabomoa wahamie pale au imeacha bonde..
iko siku tutasikia Ikulu nayo imeibiwa...watu wezi sana
Mwandishi wetu hajafanya uchunguzi yakinifu. Ninamuomba ufafanizi wa maswali yangu yafuatayo:-