Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,021
- 74,698
Kwa mini unasena hivyo? Mbona zipo meli za mafuta zinashusha mzigo wote au mafuta sio mzigo?HII Ni saisa...Hakuna meli imewahi kupakua mzigo wote kwenye bandari ya Dar...Labda iwe boti kutoka Zanzibar
Tutumie walau common sense