Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,902
- 14,378
Mkuu umeanza vzr umemaliza vibaya, linganisha profile za wachezaji wa Mali na Malawi kisha tuanze mjadala.Ni kweli Banda kacheza hiyo Mechi Moja tu je, Diara kacheza Mechi ngapi huko Mkuu? Nasubiri Jibu lako la Kitakwimu pia.
Ndiyo maana aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) alisema ( hata YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe.