chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Nimetembelea madhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika hapa ushirombo bukombe shinyanga ambapo yameandaliwa kiwilaya. kuna mabo mengi sana hasa kuhusu
1.kilimo &ufugaji
2. Mazao ya misitu
3.vyeti vya kuzaliwa vinatolewa bure na mabanda mengi ya halimashauri ya bukombe.
Nikaamua kutembelea mabanda ya vyama vya siasa ambavyo nimeviona CHADEMA na CCM
KWA CHADEMA:
kuna watu kama 30 na wote wananunua kadi (Tshs500), na kuomba bendela, wanaulizia siasa za igunga na kalenda zenye viongozi wa cdm. Wahusika wameniambia wamegawa kama kadi 600 tangu j3 na kukusanya taarifa za ufisadi kutoka kwa wananchi. Wamealikwa kufungua matawi mapya na kupewa ng'ombe 6 wa kuendeleza mapambano. Wengine wamekuja kushukuru.
ccm
Nimekuta watu wawili ambao wamenikaribisha vizuri na kunipa kofia. Wanasema hawana shida na wanachama wapya kwa kuwa si msimu wake na kusema wanagawa tshirt kw wanaopenda. mezani kulikuwa na kadi mpya na zingine kwenye box
. Nimekaa kam nusu saa hivi sikuona mtu anatembelea banda lao labda watu 4 walipita kwa karibu na kunyosha vidole viwili.
Nilipotoka kuna watu wakaniita fisadi mie nikacheka