Banda la CHADEMA na CCM Ushirombo,

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Points
1,195

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 1,195
Nimetembelea madhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika hapa ushirombo bukombe shinyanga ambapo yameandaliwa kiwilaya. kuna mabo mengi sana hasa kuhusu
1.kilimo &ufugaji
2. Mazao ya misitu
3.vyeti vya kuzaliwa vinatolewa bure na mabanda mengi ya halimashauri ya bukombe.

Nikaamua kutembelea mabanda ya vyama vya siasa ambavyo nimeviona CHADEMA na CCM

KWA CHADEMA:
kuna watu kama 30 na wote wananunua kadi (Tshs500), na kuomba bendela, wanaulizia siasa za igunga na kalenda zenye viongozi wa cdm. Wahusika wameniambia wamegawa kama kadi 600 tangu j3 na kukusanya taarifa za ufisadi kutoka kwa wananchi. Wamealikwa kufungua matawi mapya na kupewa ng'ombe 6 wa kuendeleza mapambano. Wengine wamekuja kushukuru.

ccm
Nimekuta watu wawili ambao wamenikaribisha vizuri na kunipa kofia. Wanasema hawana shida na wanachama wapya kwa kuwa si msimu wake na kusema wanagawa tshirt kw wanaopenda. mezani kulikuwa na kadi mpya na zingine kwenye box
. Nimekaa kam nusu saa hivi sikuona mtu anatembelea banda lao labda watu 4 walipita kwa karibu na kunyosha vidole viwili.
Nilipotoka kuna watu wakaniita fisadi mie nikacheka
 
Attachments:

kwempa

Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
73
Points
0

kwempa

Member
Joined Apr 11, 2011
73 0

Angalia hapo kwa bluu then kwa nyekundu...thank you
 
politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,376
Points
1,250

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,376 1,250
asante sana mheshimiwa kwa kutupa vitu LIVE kwani hujui tu ndugu yangu umeuburudisha vipi mchana wangu kwa habari hii kwani sasa hadi Bukombe kweli nimekubali Mungu ibariki Tanzania na Mungu ibariki CHADEM na watu wake.
 
POMPO

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
6,690
Points
1,195

POMPO

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
6,690 1,195
Peoplezzzzzzz... Yaani hapa castle inatelemka poa kabisa. Kumbe mpk usukumani tunakubalika. Wabeja ng'osha!
 
Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Messages
3,486
Points
1,195

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined May 28, 2011
3,486 1,195
Kudanganyana ni mkakati wa wafa maji, poleni sana.....siasa yataka timing
ni vema sana mukaangalia haya mambo kwenye eneo la tukio kuliko kujifariji mkiwa mbali mwisho wa siku nchi inakwenda kama huamni angalia munavyo pata taabu sana kwenye uchaguzi na jinsi mnavyo tumia nguvu kubwa kupata ushindi
 
Forum statistics

Threads 1,382,436
Members 526,380
Posts 33,828,505
Top