Balozi wa Marekani -Status yake ni equivalent to who?

Balozi wa Marekani -Status yake ni equivalent to who?

Mh370

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
285
Reaction score
375
Nimeona Balozi mpya wa marekani kapokelewa na mkuu wa nchi na msafara kama state visit ya hadhi ya Rais, hivi mabalozi wengine huwa wanapewa the same treatment?
 
Nimeona Balozi mpya wa marekani kapokelewa na mkuu wa nchi na msafara kama state visit ya hadhi ya Rais, hivi mabalozi wengine huwa wanapewa the same treatment?

Nchi tajiri so lazima waje kitajiri....
 
Nimeona Balozi mpya wa marekani kapokelewa na mkuu wa nchi na msafara kama state visit ya hadhi ya Rais, hivi mabalozi wengine huwa wanapewa the same treatment?

Lazima unyenyekee tuta kosa vyandarua vya DENGUE
 
Pepo la ombaomba ndilo linalomtafuna mkuu wetu wa nchi. Bila shaka baada ya mapokezi hayo alimuomba pesa!
 
Ndio maana tunasisitiza kujenga uchumi wa mataifa yetu hivyo hivyo, huwezi kupata heshma kama wewe ni omba omba!
 
John kerry alifika sudani ya kusini wakaingia mkataba wa amani baada ya viongozi wengi wa africa kuwashawisha na kushindwa
Jiulize!
 
daah hata mimi nimeshangaa kweli ....balozi tu anapokelewa vile na gwaride juu.....ama kweli umaskini mbaya sana....TANZANIA nchi yangu unanisikitisha.
 
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Ujue siku zote ukitupwa baharini huwezi kufa kilaini, lazima utapetape as if u want to save your life though you will die, ndivyo walivyo hawa wote wenye chuki na uongozi ulio madarakani!
Imetangazwa siku ya mapumziko tz kwa ajili ya mapokezi ya balozi huyo? au mnaleta majungu tu? FF, elimisha watu mama.
 
Mabalozi wote wanapokelewa hivyo hivyo itifaki lazima izingatiwe hata wa kwetu wakienda kujitambulisha nao ufanyiwa hivyo hivyo.
 
Ujue siku zote ukitupwa baharini huwezi kufa kilaini, lazima utapetape as if u want to save your life though you will die, ndivyo walivyo hawa wote wenye chuki na uongozi ulio madarakani!
Imetangazwa siku ya mapumziko tz kwa ajili ya mapokezi ya balozi huyo? au mnaleta majungu tu? FF, elimisha watu mama.

Waache kwanza wajazane humu wakidanganyana, wakiujuwa ukweli watakaa kimya, itakuwa hakuna raha.
 
President Peres holds a discussion with Ambassador Hamza.

President Peres escorted out Ambassador Hamza after they finished their discussion. Also in the photo is Mr. Nyamanga (right – behind Ambassador Hamza), Head of Chancery at the Embassy of Tanzania in Egypt.

Ambassador Hamza as he walks out of the Israel Presidential Palace, while the Guards salute him with Tanzania National Anthem.
 
Alipigiwa wimbo wa Taifa lake na heshma zote ispokua 21 gun salute tu. Yaani ni over mkuu wa nchi kama Nigeria. Gari halina namba bendera kwa wingi. Jamani tujitahidi tusile vya watu tujitegemee sasa.
 
Hata akija mbwa wa obama mtampokea na msafara
 
Hiyo ni kawaida hata balozi wako hupokelewa hivyo hivyo popote anapenda kijitambulisha nchi husika lakini pasipo kupigiwa mizinga 21.
 
Hiyo ni kawaida hata balozi wako hupokelewa hivyo hivyo popote anapenda kijitambulisha nchi husika lakini pasipo kupigiwa mizinga 21.
Usitake kudanganya watu, kwani yeye ndio balozi pekee wa nchi za nje aliyopo hapa nchini? Kila mala wanapokelewa mabalozi wa nchi nyingine hatujawahi kuona mapokezi ya aina hiyo, ndio maana watu wameshangaa.
 
Back
Top Bottom