Balozi wa Marekani -Status yake ni equivalent to who?

Balozi wa Marekani -Status yake ni equivalent to who?

Ndugu agizia passo yko tu ya 2005 na mpk change za rada utapata kwny hyo hela
 
Ndugu mmesahau kua balozi ni representatives wa rais na nchi aliyotoka?? So anahitaj heshima zote msiwe mnaclaim vitu kama hamjui ndo maana ukifika mazingira ya ubalozi wowote hata kama uko nchin kwenu ila pale ni kama nchi yao na kuna bendera zao na kila kitu kama unabisha iba afu uwe unakimbizwa na polisi kimbilia eneo la ubalozi wa marrkani uone kama watakufata...

Watanzania tupunguze majungu dah
 
Back
Top Bottom