Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.

View attachment 1617807
Huna lolote.Tanzania only for Tanzanians and equally America only for you Americans.Just speak what you can speak for yourself but mark you, we can not afford leaving our country to the hands of traitors possibly recruited by yourselves .
 
Eti mkuu alietufanya OMBA OMBA ni nani mwengine km sio waliotawala NCHI kwa miaka 59.
Sio wanatamani hao ni viranja wa dunia tayari.
Tokea 1961 TZ imeshindwa kuwa kiranja EAST AFRIFA Leo mtaweza kuwadindishia viranja wa dunia
Kiranja wa EAC kwa kuvaa chupi za kike mdomoni bila kujitambua Yaaah
Ungejua kama ktk hiyo EAC Tanzania ndiyo nchi tajiri kuliko wote ungeangalia usemacho
Hakuna viranja wa Dunia wala kijiji ni wezi watupu wanaonufaika na ujinga wa wafrika kama hao wapinzani ambao walipokataliwa na wananchi basi hakuna demokrasia,,
Mnataka tuzihesabu kura kwa kuzisoma ili mjue nani alimpigia nani??? Usichezee Tanzania kafanyeni kwingine
 
Eti mkuu alietufanya OMBA OMBA ni nani mwengine km sio waliotawala NCHI kwa miaka 59.
Sio wanatamani hao ni viranja wa dunia tayari.
Tokea 1961 TZ imeshindwa kuwa kiranja EAST AFRIFA Leo mtaweza kuwadindishia viranja wa dunia
Tanzania hatuhitaji kuwa viranja wa nchi yoyote kwa sababu hatuna sababu ya kumendea na kudunyua rasilimali za wengine kama huyo US wako. Tunajitosheleza, ndiyo maana tunaijenga nchi yetu, wala hata hatuna taimu nao. Umaskini wa Tanzania umetokana na nyie vyama pinzani ambavyo kwa miaka yote mmehonyoa ruzuku za walipa-kodi, wala hata hamna la maana mmefanya. Wananchi wametoa ufumbuzi sahihi kwenye uchaguzi huu. Pesa ambazo tunatumia kwenye uchaguzi, kama msingekuwepo nyie jamaa tungezitumia kwa maendeleo makubwa. Imagine ballot papers zenyewe bilioni 44!!! Ndiyo maana mtarajie awamu hii muhula wa 2 wa Rais Magufuli Tanzania iwe zaidi ya Ulaya.
 
Lakini pia ujue Marekani hakuna sheria kandamizi. Mfano kwenye Uchaguzi huu Halima Mdee kwa kushirikina na Polisi walikamata kura kwenye mabegi. Lakini badala ya kuwakamata wahusika wa mabegi hayo, alikamatwa mtoa taarifa za uwepo wa kura hizo yaani Halima Mdee.
Yeye alijuaje kuwa kwenye hilo begi la huyo mtu lina hizo karatasi za kura? Je sisi tutaminije kama ni karatasi za kura halali za NEC?
 
Lakini pia ujue Marekani hakuna sheria kandamizi. Mfano kwenye Uchaguzi huu Halima Mdee kwa kushirikina na Polisi walikamata kura kwenye mabegi. Lakini badala ya kuwakamata wahusika wa mabegi hayo, alikamatwa mtoa taarifa za uwepo wa kura hizo yaani Halima Mdee.
Kwa vile alikuwa anadanganya ili kutafuta sababu ya kuuvuruga uchaguzi. Kwa nini mlizitia moto hizo karatasi feki? Kwa nini huyo aliyezibumba, aliyekamatwa nazo, mlienda kumficha???
 
Hivi huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga wanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Kwahiyo umetumia VPN ili uje kuunga mkono kufungwa kwa mitandao?
 
Barozi amesema zimebaki Sekunde Muwe mmeisha tekeleza magizo sasa kuweni wabishi
 
Hamkuti jiwe kwa ushetani. Hatuko tayari kuongozwa na wezi wa kura bora kuongozwa na wazungu.
Umekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kondoo
 
Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.

View attachment 1617807
Hao Marekani wenyewe wana uchaguzi kwa hiyo naomba waendelee na uchaguzi waache kufatilia mambo yasiyo wahusu
 
Back
Top Bottom