Balozi Maajar and REX Attorneys | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Maajar and REX Attorneys

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mmakonde, Dec 24, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimeingia kwenye website ya REX Attorneys na kuona kuwa Balozi Maajar bado ni partner wa hii firm.Hii ni AIBU kubwa kwa law proffesion ya TANZANIA.
  Jamani hapa hamuoni conflict of Interests?Nchi nyingi zenye democracy kamili,ukichaguliwa kuwa na nafasi kama hiyo unabidi ukate ties.

  Kuna thread hapa kuwa REX attorneys imelipwa whooping Ths 5 billion kuiwakilisha TANESCO against DOWANS!!!!Tukumbuke TANESCO ni chombo cha serikali.It means naye amepata share hii ya Tshs 5 billioni hela za wavuja jasho Tanzania.

  Mimi sijui sheria,labda jamaa zetu mliosoma sheria,au mjumbe toka TANGANYIKA LAWLESS SOCIETY atuambie hii ni poa tu kuwa balozi mteule anayewakilisha nchi ya Tz huko USA ,also ni private employed na local firm.
   
 2. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  ni fisadi tu, nyambaf.hana tofauti na akina rostam.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana nchi inazidi kudidmia! Hivi Jk kweli alishinda uchaguzi? sasa ni wazi hakushinda!
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Uchunguzi zaidi utaonyesha kwamba Maajar ni financial confidant wa JK -- anamtunzia hela zake kule majuu! Nyie subirini tu.
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  Hii nchi ni Mungu anajua ukiangalia none of the Western nations wame-condemn uchaguzi uliopita wa October lakini ikumbukwe Canada, the UK Australia and the US ndo wanamiliki all the exploration blocks hapa TZ na mikataba yoote mibovu imesainiwa nao...! na cha kushangaza Canada ilikuwa pamoja na Europian Election Observers japokuwa wao si toka Europe! Akili ku-mkichwani tutaishia DRC
   
 6. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,276
  Likes Received: 4,261
  Trophy Points: 280
  Nadhani hujasoma vizuri

  Ms. Maajar is currently on a sabbatical serving as High Commissioner of the United Republic of Tanzania accredited to the Court of St. James, United Kingdom and Northern Ireland and (Non-Resident) Ambassador Extraordinary of the United Republic of Tanzania to Ireland. Until her appointment as High Commissioner
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Rex ndio walioandaa na kushauri serikali khs sheria ya madini, wao ndio wakawa mawakili wa kampuni za madini, wakaja wakaishauri Benki moja kuwa Dowans ni kampuni inayoaminika wapewe mkopo kufanya kazi na Tanesco, wakaishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans kwamba ni kampuni tata, na wao wakalipwa mapesa kwenda kuitetea Tanesco na kushindwa!!! Nchi nyingine Majaar angekamatwa lkn sisi anakula kuku majuu
   
 8. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hv si nasikia na Dr Hosea nae anaendeleza libeneke kwenye chamber yake ingawa ni mkurugenzi wa PCCB?
  (Am nt sure I stand to be corrected)
   
 9. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  May I inform my friend Belo that the information he has about ambassador Maajar is out of date; currently that mamakubwa is in USA in the same capacity, but since USA is not a commonwealth country is styled an ambassedor and not high commissioner. As regards the reputation of her law firm, it's one of the biggest beneficiaries of the high state corruption involving questionable contacts during the third phase government. As you may probably know Mrs Mkapa's father and her own father are brothers.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  What has Majjar got to do with ICC judgment, could she influence their judgment.

  Dowans was going to win the case anyway. You don't just cancel contracts. Udikteta uliisha enzi za kina Nyerere.
   
 11. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  dawa hii nchi ukipata chansi bugia tu mahela ya walalhoi. sasa hasira zote hizi halafu unasikia uchaguzi mafisadi wameshinda kwa kishindo tena kwa kra za haohao wananchi wanoibiwa kila kukicha, wakiambiwa hawasikii!
   
 12. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Mzee Byenda thanks kwa kuinform huyu Bwana Belo,maana wa kina Belo ni wengi sana Tanzania!
  Ndio maana tunahitaji Katiba maya ambayo wateuzi wote wa RAIS inatakiwa wawe confirmed na Kamati huru za Bunge(kama zipo).

  Belo kwa akili yake timamu ,eti anahalalisha eti yuko sabbatical.
  Ukisoma sabbatical maana yake kutoka ENGLISH dictionary na quote 'a year's leave from a teaching post,often paid,for research or travel'

  Labda kama huyu mama Maajar alikuwa pale UDSM anafundisha ,akapata huo ubalozi hapo sawa.Hata hivyo bado ni conflict ya interests firm yake kucontract na serikali
   
 13. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Geza Ulole,usitegemee Wazungu wataiadhibu Tanzania,kama walivyo fanya Zimbabwe,au hata Kenya kunyima VISA corrupt offcials kusafiri Ulaya.

  Wazungu ni hypocrite,mpaka tuchinjane ndio waseme kitu.Angalia Ivory Coast etc.
   
 14. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Tunazungumzia kuwa REX attorneys ya Balozi Maajar inasemekana imelipwa Tshs 5 billion za taxpayers kuidefend Tanesco against Dowans!!!
  Is there any conflict of interest ?Forget about ICC judgement!!!!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sijui lini utaacha pumba aisee... unasema what has the lawyer to with the case outcome?
   
 16. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,661
  Trophy Points: 280
  mama Fisadi huyu, hafai sijui kwa nini anawekwa balozi , shame on JK
   
 17. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Namfahamu huyu mama ila kwa leo nisimwage mambo yake hadharani. lla hili la kuajiriwa kumuzia bosi wako maziwa kwenye banda lake halafu na wewe ukafungue banda lako kama hilo hilo lakini mtaa wa pili ni skendo kubwa mno.

  Lakini ripoti juu yake huko ubalozini Uingereza ukoje kwa sasa??????
   
 18. t

  toxic JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sina imani na kikwete kabisa,he is a man behind all these,you've heard and seen nothing yet.
   
 19. A

  August JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Mwl alisema yeye kwa Experience yake anaweza kujua yai bovu katikati ya mayai mengi.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Dec 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aya wee...mama wewe...maa weee...

  Kumbe hao Rex ni vilaza hivyo? Haki ya nani tena tumekwisha!!!!!!!!!!
   
Loading...