Rais Samia Amteua Balozi Agnes Kayola Kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Malawi

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Balozi Agnes Richard Kayola kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi.

Balozi Kayola ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Fz8iRXlX0AE3rsA.jpeg
 
Screenshot_20230701-135809.jpg
 
Balozi Agnes Richard Kayola

1688209563008.png

Picha toka maktaba 2020

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Wizara wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Agnes Richard Kayola, akifuatilia kwa makini Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya Mtandao kutokea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom