Hana jipya marehem,atuandalie nafasi tu huko kuzimu,serikali sio wajinga na hawawezi kumchekea mtu ambae ataweza leta sintofahamu kwa wananchi wake nikimaanisha kuwa kama angekuwa hai ni muda tu serikali ingefanya kile tunacho kielewa,
huyo hayupo hai ni mtu mwingine tu ndiye anayetumia mtandao huo.
nashukuru mkuu.Wewe ni great thinker kweli.Hata "common sense"tu inakuambia kwamba Balali yuko hai,au umetumwa.Huhitaji kuwa na akili nyiiingi.
Hana jipya
Wabongo tunajua kuwa Bw Balali ni marehemu. Alifariki na kuzikwa USA, hakuna aliudhuria hayo mazishi wala kupatikana kwa picha za hayo mazishi.
Hivi karibuni kupitia mtandao wa twitter kajitokeza mtu anayedai kuwa yeye ni Bw Balali. Kuna gazeti liliandika kuhusu hiyo ishu. Cha ajabu bado huyu mtu anaendelea kutoa "tweets" kila mara.
Na leo kaweka picha anasoma kitabu pande za kwa obama. Je kama kweli huyu jamaa is indeed ALIVE! inakuwaje hapo ndugu zangu watanzania?