Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Mbona waskaji wengi walio kufa wanasema jina la Balali halipo kweny kitabu wala kweny rolcall jamaa haonekani.
 
Balali hakunaga,...hakunaga kama Balali hakunaga*2.
 
Niliwahi kutonywa na jamaa m1 yuko kwenye taasisi moja muhimu hapa bongo akanambia, BALALI'S DEATH is UNREAL!

Mie nahisi ajafa ila serikali ikiona inazidiwa watamuua kweli sasa so nae akae mguu sawa. Ukisingiziwa umekufa nawe ufe kwel co unajiachiaachia pipo zinakuona unawapa tab walio danganya.
 
Mie nahisi ajafa ila serikali ikiona inazidiwa watamuua kweli sasa so nae akae mguu sawa. Ukisingiziwa umekufa nawe ufe kwel co unajiachiaachia pipo zinakuona unawapa tab walio danganya.

Heheheh ukibebwa jishikilie aisee...ye anajisahau sasa
 
Yatasemwa mengi tu..cjui alazwe mahali pema peponi au kama uko hai we kula bata tu
 
Wakati wanaojidai wapiganaji wanaongea siasa, unajiuliza hivi hawa wapigani au wapiga porojo? Si makosa yenu ni Jumamosi leo. Mnanchekesha.

mh mshereheshaji wa sisiem eti tupe ukweli kafa au ni changa la macho.
 
Binafsi nilisikia hivyo hivyo kwamba vc chancellor lipoambiwa akamtonya ****** kwamba jamaa kamba Mwaikusa ameshajua ukweli kuhusu balali na anaongea kwa watu. Nyeti zinadai kuwa hata Baregu aliambiwa na Mwaikusa

huyo jamaa pamoja na kuwahi kuwa mshauri na kada, ni mtu wa system sana pia na Dr. mmoja wa industrial economy
watanzania wakachezewa kwa kuhusisha kifo cha prof na kesi za rwanda, uchunguzi haujakamilika.khaaa
 
Mbona ukitaka kujua kuwa jamaa yuko hai ni simple sana.Subiri serikali ya Tanganyika ikiingia madarakani tutawapa wananchi ukweli hachana na hawa j k a y a m a n
 
Dumelang, habari ya mwisho wa wiki. If Balali is still alive I am happy and every one elae should because the guy is innocent. There are those who are responsible for EPA and are walking freely while Balali is hiding and worst they are telling lies that he is dead. Unless he has been "cloned." Uongo utafikia mwisho wake tu. Do not panic you are just getting to know the world.

 
time will tell, ukweli utakuja julikana tu!!
 

kwa mtaji huu si wataua wengi sana? Kwa nini wasimuue yeye yakaisha tu?
 
Ndio maana Rost Azi anatawatesa sana,nasikia yeye ndo alitoa concept ya jamaa kifichwa na kuutangazia umma kwa kafa. Juz alimpa mashart wa kaya kuwa asipolipwa hela yake ya dowans atataja kila sirI ya chama na serikali.

na yeye si wakamfiche ama kumtanguliza mbele za haki tu? Kwao si jambo rahisi tu?
 
mkuu mwenye thread hiyo heading haijatulia.......wengine tumekimbilia kufungua kumbe nawe pia unauliza kama uliyosikia ni kweli.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…