Jamani wana JF sijui kama nanyi mlisha isikia hii! nitaanzia mbali mpate picha
Juzi baada ya kazi ni niliingia sehemu furani kupata chakula ilikuwa mida ya mchana, kwakuwa ni katikati ya mji kulikuwa na wafanya kazi wengi kidogo pale.
kama mnavyojua wabongo na story za siasa kwa hivi sasa ni balaa, basi kukawa na kundi furani linazungumzia Tume zisizo leta majibu za Tanzania, katika matukio mbalimbali. Dada mmoja akauliza hivi ule uchunguzi wa mauaji ya Prof aliyeuawa kwa risasi mlangoni kwake nao bado eeh?
hapa ndipo sasa tittle yangu inapoanzia! jamaa mmoja kajibu akasema haiwezi letwa habari hiyo hata siku moja kwani:
YULE PROFESA ALIUWAWA BAADA YA KUTEMBELEA MAREKANI KATIKA JIMBO FURANI HUKO ALIMWONA GAVANA WA B.O.T ANAYEDAIWA KUFA, KISHA AKAJA KUMWAMBIA BOSI WAKE PALE UD, KUHUSU ALICHOKIONA, mmh BOSI AKANYANYUA KITU MKONGA (TTCL) MPAKA KWA MKUU WA KAYA.
jamaa kaendelea kutonya: HAPO NDO MAUTI IKAWA ADHABU YAKE !
MMH ILIKUWA MPYA KWANGU NIkaAZIMIA KUWAULIZA GREAT THINKER'S JE! MLISHA ISKIA HII? au imekaaje?
Unachekeshwa na nini? Acha kunitoa udenda we mrembo!
labda kwa wengine alikuwa ni mwizi,but to his familiy he was beloved father,kaka,mjomba etc sio fair kuwakumbusha their loss ......
Kuhusu dowans,magamba wanajiuliza watumie lugha gani wana-TZ tukubali,yaani wanajishauri kama mtoto wa kike anayejianda kumtaarifu baba yake kwamba katimuliwa shule bcoz ana mimba.nchi hii sishangai kusikia kuwa balali yupo.kama watu walikataa kuwa richmond ni kampuni bubu kubwa,hakuna wizi wa epa BOT baada ya kutolewa na dr slaa.Haya kwa tz yanawezekana kabisa.enyi wana janvi,endelea kufuatilia ili na mwisho mungu atawaumbua.Tunasubili watangaze kuilipa dowans ili moto uwake nchi nzima.usaniiwa wanamagamba karibia unakaribia mwisho.
nyie em oyeeeeeeeeeee
Unachekeshwa na nini? Acha kunitoa udenda we mrembo![/QUOTE
Msshikaji yupo anakula bata
Jamani wana JF sijui kama nanyi mlisha isikia hii! nitaanzia mbali mpate picha
Juzi baada ya kazi ni niliingia sehemu furani kupata chakula ilikuwa mida ya mchana, kwakuwa ni katikati ya mji kulikuwa na wafanya kazi wengi kidogo pale.
kama mnavyojua wabongo na story za siasa kwa hivi sasa ni balaa, basi kukawa na kundi furani linazungumzia Tume zisizo leta majibu za Tanzania, katika matukio mbalimbali. Dada mmoja akauliza hivi ule uchunguzi wa mauaji ya Prof aliyeuawa kwa risasi mlangoni kwake nao bado eeh?
hapa ndipo sasa tittle yangu inapoanzia! jamaa mmoja kajibu akasema haiwezi letwa habari hiyo hata siku moja kwani:
YULE PROFESA ALIUWAWA BAADA YA KUTEMBELEA MAREKANI KATIKA JIMBO FURANI HUKO ALIMWONA GAVANA WA B.O.T ANAYEDAIWA KUFA, KISHA AKAJA KUMWAMBIA BOSI WAKE PALE UD, KUHUSU ALICHOKIONA, mmh BOSI AKANYANYUA KITU MKONGA (TTCL) MPAKA KWA MKUU WA KAYA.
jamaa kaendelea kutonya: HAPO NDO MAUTI IKAWA ADHABU YAKE !
MMH ILIKUWA MPYA KWANGU NIkaAZIMIA KUWAULIZA GREAT THINKER'S JE! MLISHA ISKIA HII? au imekaaje?
hii inchi imeoza haifai kwa watu wenye akili kuishi. Acha tu huyo mzee wa G-unit na wenzake siku moja watakiona.Anayejua kw kafa au yu hai ni mkuu wa kaya.
Hili la Balali maadam tulishatangaziwa ya kuwa amefariki na amezikwa huko Marekani, tuliache maana hata suala la Sokoine lilikuwa na uzushi wa namna hiyo