Umesema kweli poti,na ningeshangaa kama kuna ambaye asingeliona hilo.Shida ya wasichana wengi miaka ya leo si tu kupata mwanaume,kwani kina Paka mweusi tumejaa kila kona.Shida yao kubwa ni kupata mwanaume mwenye pesa na anayejua kuhonga,maana si wote wenye pesa ni wahongaji wazuri..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.