BALAA: Wanawake Sasa Waenda Kwa Waganga Kutafuta Wanaume

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
3605_403142483089862_1786273990_n.jpg
 
Wamekosa nini hao!? kweli vijana wa siku hizi hamuwatendei haki mabinti
 
Kweli kutojiamini, akitoka hapo mganga anammega ili dawa ifanye kazi vizuri.
 
Kiukwe hawa wanahangaika tuu.mganga akitoka hapo lazima awamege kidogo.njoni kwangu mi ni single boy coz inead wife.
 
Hapo mganga mawazo wala hayapo kwenye dawa, anawaza atawamega mtindo upi? kitu kipo hewani muda tuu hahahahhah
 
Hawa watoto jamani wamekosa nini ni elimu inawakataa au ni wanaume, du Dunia imebadilika
 
Huyo ni tapeli tu hana uganga wowote. acha apate riziki yake sababu vya wajinga ndio viliwavyo.
 
hali ngumu hawahongwi,anagongwa tu na kuacha basi



Umesema kweli poti,na ningeshangaa kama kuna ambaye asingeliona hilo.Shida ya wasichana wengi miaka ya leo si tu kupata mwanaume,kwani kina Paka mweusi tumejaa kila kona.Shida yao kubwa ni kupata mwanaume mwenye pesa na anayejua kuhonga,maana si wote wenye pesa ni wahongaji wazuri..
 
Back
Top Bottom