Mhii wahuni siyo watu wazuriNa MMM
UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri. UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na kuifanya ionekane ni sehemu ya matumizi ya dola. Jambo ambalo linachafua taswira nzuri ya UISLAM. BAKWATA wenyewe hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
BAKWATA ni miongoni mwa taasisi huru zinazofanya kazi nzuri sana nchini.Na MMM
UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri. UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na kuifanya ionekane ni sehemu ya matumizi ya dola. Jambo ambalo linachafua taswira nzuri ya UISLAM. BAKWATA wenyewe hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
Dada unaishi wapi nimekupenda mremboBAKWATA ni miongoni mwa taasisi huru zinazofanya kazi nzuri sana nchini.
hayumbishwi na porojo wala mihemko ya mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha kwenye uisilamu nchini.
BwabwaBAKWATA ni miongoni mwa taasisi huru zinazofanya kazi nzuri sana nchini.
hayumbishwi na porojo wala mihemko ya mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha kwenye uisilamu nchini.
Chizi karogwa tenatuliza ball pisi kali The Worst, RIVERSIDE Queen
calm down mr. pointlessBwabwa
Wanachotaka CCM ndicho watakachotaka BAKWATA.Na MMM
UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri.
UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na kuifanya ionekane ni sehemu ya matumizi ya dola. Jambo ambalo linachafua taswira nzuri ya UISLAM. BAKWATA wenyewe hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
Hiki chombo ni project ya serikali.. Sheikh Ponda anakijua vema sanaNa MMM