kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Viongozi kama hawa wa kidini ndio wanaopunguza waumini katika nyumba za Ibada, leo hii unasimama na kuanza kujiingiza kwenye mamboa ya siasa tena kumshabikia mtu ambae waislam mkiwa mmejifungia Msikitini mnamwita KAFIR na kuzima vipaza sauti ili msikilizane wenyewe tu huu ni unafiki na nafikiri ili uislam iwe dini ya wenye elimu ya ufahamu ni vema tukajikita kwenye dini na kuachana na mambo ya siasa na kwa hili huyu Shehk wa Mkoa amejiingiza kwenye kashfa ambayo sidhani kama waumini wa kiislam watamuacha.