BAKWATA wamkemea Makonda

BAKWATA wamkemea Makonda

Lowassa atupe turufu kwa kuunga mkono mahakama ya kadhi kuwemo kwenye katiba atakuwa amefunga kazi.
 
Wewe kweli ndio kafiri halisi tena Kafiri lenye gamba gumu zaidi ya kobe! Shekh wenu anatoa tamko unampinga? Muite ujuavyo ila haibadirishi kitu, ndo kiongozi wenu. Weka quotes zote za Kuran ila atabaki kuwa kiongozi wenu na anakula hela la Mh Lowassa. Vp kuhusu wale mashehe wa Mwanza walomvalisha kabisa Mh Lowassa yale magauni yenu na mitandio na akawasaidia zaid ya Mil. 500 nao ni makafiri? Acha matusi kijana! Jiheshimu uheshimiwe, dini haitetewi kwa matusi..'


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

wewe mbumbumbu mzungu wa reli hujui kitu juu ya uislam usifananishe uislm na ukatonta.KIONGOZI KTK UISLAM NI QUR'AN NA SUNNA (mafundisho ya Mtume) hakuna zaidi na anaechaguliwa huwa ni mchungaji wa utekelezaji wa Qur'an na sunna na waislam wote nilazima tena wajibu khasa kuelewa Quran na sunna ili huyu mchungaji akienda upogo achapwe bakora.yaani afukuzwe hafai,naye ktk uchungajiwake hana lake lolote atakalo ongeza au kupunguza au kurekebisha ktk maelekezo ya quran na sunna.NO Amendment in islamic faith. Na Mtume (saw) ametukemea na kutukataza "KUMTII BINAADAM YEYOTE KTK KUMUASI ALLAH.we mbumbubu niafadhali ungekaakimya tu kuliko kudhihirisha umbumbubu wako hadharani tamu ya maneno ni kuongea kwa quatation za maandiko.sio kuniletea kwaya za vinanda
 
BAKWATA ni NGO kama zingine

BAKWATA inawakilisha hao waislam walikubali kuwa kiwe ni chombo cha kuwakilisha fikra Ao etc


BAKWATA ni ngo ambayo haifanyi na haina audited accounts na sielewi kwa nini RITA haijafuingia mpaka leo


BAKWATA kama ilivyo NGO za WAPUKI...WANYAMA...etc haina kiongozi hata mmoja aliyemaliza form 2....


WAISLAM wa Dar es salaaam wako toka madhehebu tofauti kama Shia.... Sunni ....answar... cosmopolitan... cafeteria...istoqama....SAIGONI CLUB....wauza nazi...STD 7Waswahili....wangazija starbucks...TISS...google...wikipedia...muhajirun...BARAZA KUU....MBA....ivy league...ijummaa mpaka ijumaa....PHD salafis...maulid.... radicals....fundies...MSAUD...YESU SI MUNGU...mtoro....kisiwani...mwembechai....OIL &GAS...sinza....JF....ngamia....kichangani....jina...temeke...kwa mwinyi....ACCA...OXBRIDGE....CCM...iddi mpaka Iddi...



sasa huyu Sheikh wa Bakwata anaposema anaaakilisha maoni ya waislam wa Dar alitakiwa awe specific kuwa anaaakilisha waislam wepi kwenye kindi hilo hapo juu.

Nijuavyo atakuwa anaaakilisha kundi la STD7 wenzake na

Astakafulilahi
 
Lowasa anahaha anajua chadema ikichukuwa nchi atafilisiwa tu. Kwa hiyo anata aingie yeye au aweke mtu wake kama kawaida. Lakin kwa sasa hali ngumu sana.
 
Back
Top Bottom