nepi nene bado sijakupata kabisa.
Kwani Imani ya Kisabato inakataza waumini wake wasijihusishe na siasa, kama kugombea, kupiga kampeni, kupiga kura au kushabikia mambo ya siasa?
Inakuwaje sasa wanasiasa kuanzia Lowassa mpaka Kikwete wanaalikwa kwenye madhabahu za makanisa ya kisabato kuja kutoa hotuba, 'kumwaga Pesa' nk.
Wakati ukifika makanisa ya kisabato huenda nayo yakatoa Matamko ya kumfagilia Lowassa, kwani tayari pia wamekula pesa yake.
Kumbuka apandacho mtu ndicho atakachovuna, Lowassa amepanda 'Ukarimu' ndani ya Misikiti na Makanisa, hivyo ni haki yake kuvuna 'ukarimu' kutoka kwao
Opaque issue ya Lowassa kutaka kuwa rais sio Ndogo. Hii ni vita ya kisiasa ni kufa na kupona.RC hawawezi kutoa tamko katika hoja ndogo kama hizi, labda mtu binafsi, lakini haliwezi officially kutoka TEC au taasisi ya RC
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dsm leo amezungumza na waandishi wa habari na kukemea kitendo cha Paul Makonda kutumika na kuwahusisha viongozi wa kiislamu na harakati za Lowassa kwenda Ikulu
Sheikh mkuu amesema wao kama Waislamu hawawezi kuchaguliwa marafiki,wala mtu wa kushiirikiana nae ktk misaada ya kuujenga uislamu na taasisi zake.Amemuonya Makonda kuacha kutumika na kuharibu sifa za viongozzi wa kidini.
Sheikh mkuu ameendelea kusema kuwa Makonda hana amri wala dhamana ya kuwachagulia BAKWATA na Waislamu mtu wa kuwa nae,amesema Makonda aseme ni lini na wapi viongozi wa dini walitumika kwa uislamu wao kupiga kampeni.za Lowassa kwenda Ikulu
NB;% Mzee mamvi jamani anatisha sana,kasi yake ni ya hatari...kakaba kila kona

Halafu huyu ni sheikh Mkuu wa Bakwata na sidhani kama.anaaakilisha all.cross sectors za waislam wa Dar.
BAKWATA ni NGO kama zingine na hawana dhamana ya kuwakilisha waislam wote
Media should know that hivyo tamko lao ni kama tamko la NGO ya Mtoto kwa mtoto au umoja wauza njugu vingunguti
- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?
Le Mutuz
fi......
- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?
Le Mutuz
Ngoja nikusaidie kidogo.- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?
Le Mutuz
Soon usishangae pia tamko la wakristo kupitia CCT, PCT, RC au Sabato wakimuonya pia Makonda uache kuropoka!!
Siku zote mgombea urais wa CCM ni lazima atokee kwenye milango ya Kanisa au Misikiti.
Alifanya Kikwete na atafanya pia Lowassa, Membe au Sitta nk.
Huwezi kuitenganisha CCM na Udini.
Kwa kukusaidia tu, Kuna makanisa mengi na madhehebu mengi sana ya Kisabato hapa nchini na Duniani lakini sio kila kanisa la kisabato au dhehebu la kisabato linasimama lenyewe kama lenyewe bali upo 'mwamvuli' wa makanisa ya Kisabato hapa Tanzania na Hata duniani ipo 'miamvuli' mingi inayowaunganisha wasabato mbalimbali. Hiki sio kitu kipya au kitu cha ajabu.
I will try find the Names of them and their Policies.
haiwezi tokeaSoon usishangae pia tamko la wakristo kupitia CCT, PCT, RC au Sabato wakimuonya pia Makonda uache kuropoka!!
Siku zote mgombea urais wa CCM ni lazima atokee kwenye milango ya Kanisa au Misikiti.
Alifanya Kikwete na atafanya pia Lowassa, Membe au Sitta nk.
Huwezi kuitenganisha CCM na Udini.
Raha yetu sisi dini yetu haikaliwi kikao kule dodoma wala vatican kwa waliberali.
Nyie mtaona mpaka yesu asale akatae kurudi!
Uloi nga mâché68;8554398 said:Kweli Lowassa kiboko! Kawanunua Hata Bakwata. Jamani Bakwata jitambueni. Hivyo vijisenti visiwavunjie heshima.
tunawategemea sana.
Lowassa ndio chaguo la waislamu? maana bakwata inawakilisha waislam.