BAKWATA wamkemea Makonda

BAKWATA wamkemea Makonda

Bakwata wing ya CCM imeaanza kutoa cheche kwa hiyo wako kinyume cha KIkwete kawanyima mahakama ya kai wanamgeuka
 
Natamani nijue Makonda alisema nini kuhusu Uislamu.
Ila inaonyesha Lowassa ameshajioteshea mizizi kwenye maeneo na taasisi nyingi tayari.
Kama sheikh wa mkoa wa Dar anasema Makonda aache kuwachagulia Waislamu marafiki, hii kauli ni nzito na very positive kwa Lowasa.
Napata kiwewe zaidi kuona jinsi jina la huyu mamvi linavyovuma na kutetewa na watu wasiotegemewa.

Makonda alisema viongozi wa dini wanaoshirikiana na Lowassa ni wale tu wanaotaka hela za chap chap...
 
We mzee ukimalizana na ccm wenzio fainali Chadema wanakusubiri. Teh teh walah huchomoki usisau kuwaeleza watz Richmond ilikuaje.
 
Nani aliyekwambia bakwata ni chama cha siasa!
Au basi tu na wewe umeamua kuandika utumbo wako tu!

Utajibeba mwaka huu na bado, mungu wenu wa cuf profesa pumba mwambie afanye tena ziara yake misikitini.
 
Utajibeba mwaka huu na bado, mungu wenu wa cuf profesa pumba mwambie afanye tena ziara yake misikitini.

Raha yetu sisi dini yetu haikaliwi kikao kule dodoma wala vatican kwa waliberali.

Nyie mtaona mpaka yesu asale akatae kurudi!
 
Ni kweli makonda hana mamlaka ya kuwachagulia bakwata marafiki. Mwenue mamlaka hayo ni uroho wa pesa walionao ndio unaowafanya wale hata visivyo pikwa !? Hivi shekh haoni aibu kuomba msaada kahaba wa kajenga msikiti kisha akiingia msikitinibamzuie kufanya hiyo biashara haramu !? Huyu naye nadhani hakitumwa ila amryatoa mahali
 
Huyu sheikh mkuu wa Dar ndio yule alitolewa kwenye magazeti aki kutuhumiwa kuwa ni GAY au sio hiyu?
 
Halafu huyu ni sheikh Mkuu wa Bakwata na sidhani kama.anaaakilisha all.cross sectors za waislam wa Dar.

BAKWATA ni NGO kama zingine na hawana dhamana ya kuwakilisha waislam wote

Media should know that hivyo tamko lao ni kama tamko la NGO ya Mtoto kwa mtoto au umoja wauza njugu vingunguti
 
huyu sheikh njaa ni bonge la gamba,ana chuki na cdm balaa.
 
nasikitika sana kuona vijana wadogo walio smart wanaingia kwenye kambi za urais kipumbavu namna ile

sometimes kukaa kimya kunasaidia sana
 
Back
Top Bottom