papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 764
- 504
HUYO anaejiita shekh wa DSM hana Mamlaka ya kusema juu ya waislam na uislam MSINGI MKUU WA UISLAM NI KUA LILE ALILO KUPENI ALLAH NA MTUME WAKE CHUKUENI NA LILE ALOKUKATAZENI ACHENI. ALLAH KATUKATAZA TUSIWAFANYE BABA ZETU NA WATOTO ZETU MARAFIKI WA KARIBU KAMA WAO NI WENYE KUPENDA UKAFIRI ZAIDI YA UISLAM. Quran 9:23 sasa huyo MNAFIKI mkuu wa mkoa wa DSM atamletaje huyo KAFIRI kua rafiki wa WAISLAM ? yeye angekemea hivi Makonda asiwachagulie WANAFIKI rafiki hapo sisi WAISLAM tungemuelewa.sababu kundi la wanafiki limo ktk jamii ya waislam na Allah kasema ktk Quran tabia yao kubwa ni kuwafanya Makafiri vipenzi vyao zaidi ya waislam." kama alivyodhihirisha huyo mkubwa wao wa mkoa wa Dsm