BAKWATA wamkemea Makonda

BAKWATA wamkemea Makonda

Soon usishangae pia tamko la wakristo kupitia CCT, PCT, RC au Sabato wakimuonya pia Makonda uache kuropoka!!

Siku zote mgombea urais wa CCM ni lazima atokee kwenye milango ya Kanisa au Misikiti.
Alifanya Kikwete na atafanya pia Lowassa, Membe au Sitta nk.
Huwezi kuitenganisha CCM na Udini.

Kati ya kitu ambacho hutokuja kusikia ni wasabato na matamko ya kisiasa kwanza huyo kiongozi ataanzaje kutoa matamko ya vitu visivyosimamiwa na misingi ya kanisa? Ndo maana wasabato hawapo katika ushirikiano au jumuia za makanìsa kabsa
 
Kwa maana hiyo BAKWATA wametangaza kumbeba candidate LOWASSA kugombea ura-hisi
 
Tishio kwa Edward Tsunami Lowassa ni CHADEMA tu na hivyo kete ya Zitto ndio ime bounce, mtihani umekua mkubwa zaidi. Na nikiangalia sioni ni vipi na wapi ataweza fanya kupunguza nguvu ya CHADEMA.
Sio siri CHADEMA wame handle ishu ya Zitto vizuri mno na kwa wakati muafaka!
Ndani ya CCM hakuna mtu wala kundi linalomweza Tsunami sababu wote wanaongozwa na matumbo yao tu and they know and fear the man who can feed them.
 
Shekhe acha unafiki bhana,wanaokutumia tatizo hawakutunzii siri,wanakutangaza sana,punguza njaa ulinde hadhi ya bakwata.waache wanasiasa na siasa zao.
 
Hivi nani atatoke tena tamko kesho? Teh teh, lowasa ndani ya ccm hagusiki!
 
yule sheikh kaonyeshaanaoutoa sio msimamo wa waislamu kwanzaalisema bakwata haitaki kuhusishwa na mambo ya siasa wakati huo huo anawalaumu wale wanaoita mawaziri mzigo wanamkosea heshima rais ni njaatu inawasumbua
 
Tujenge mazingira mazuri ya kusaidia jamii zetu na kamwe siasa zisituzuie kufanya hivyo.

Ingekuwa ni amri yangu siasa zisingekuwa na nafasi yoyote katika ujenzi wa jamii iliyo bora

na badala yake wataalamu wangetumika moja kwa moja katika utekelezaji wa matakwa na

malengo ya wananchi.
 
Kati ya kitu ambacho hutokuja kusikia ni wasabato na matamko ya kisiasa kwanza huyo kiongozi ataanzaje kutoa matamko ya vitu visivyosimamiwa na misingi ya kanisa? Ndo maana wasabato hawapo katika ushirikiano au jumuia za makanìsa kabsa


Ubarikiwe sn!
 
shekh alikuwa amekaa kwenye kile kiti kilichovalishwa koti. Hivi hata viti vinawashinda bakwata kununua!
 
Unapochukua pesa kutoka kwa wanasiasa maanayake unafungua mlango WA kutumiwa na wanasiasa na si lazima aseme malengo yake ilo anakuachia wewe mwenyewe kwahiyo makonda is right kuchukua pesa kwa mwanasiasa maana yake ni kukubali kununuliwa kutimiza malengo yake
 
Back
Top Bottom