Ni Samareko sio SaramalekoHahha ila hii nchi duh yaani tunapewa hadi misaada ya tende hahaha sasa hizo zinasaidia nini?
Na mtu analalamika et mh rais , Yani hadi issue ya tende rais duh
Anyway : SALAMAREKO
Nihaki yetu sisi waislamu tulalamikie hizo tende coz ni tundu takatifu kwetu na limebarikiwa kuliko matunda yoteHahha ila hii nchi duh yaani tunapewa hadi misaada ya tende hahaha sasa hizo zinasaidia nini?
Na mtu analalamika et mh rais , Yani hadi issue ya tende rais duh
Anyway : SALAMAREKO
Ni Ass ssalaam alaykum, na si Samareko wala saramalekoNi Samareko sio Saramaleko
Ponda mwenyewe amekuomba umwombee nafasi hiyo!!!pia nakuomba ukikutana nao basi muombe na ponda aje kwenye mkutano huo ili nae atoe hoja zake
Hivi nyama si inatoka hapa kwenda uarabuni!!!? Inakuwaje tena iletwe huku kama msaada?misaada ya tende na nyama kutoka nchi za kiarabu
Hivi nyama si inatoka hapa kwenda uarabuni!!!? Inakuwaje tena iletwe huku kama msaada?
Haiwezi ikawa ccm..hilo ni tawi la ccm kama ilivyo tlp..udp..au uvccmBakwata ndo CCM mkuu we achana nao.
Tende zibarikiewe kuliko zabibu,parachichi au embe dodo..kweli wewe ni bure wa hed..sasa mudi jangwani angekula nini zaidi ya vumbi.Nihaki yetu sisi waislamu tulalamikie hizo tende coz ni tundu takatifu kwetu na limebarikiwa kuliko matunda yote
Huku unaponda na kule unapongeza.Tende zibarikiewe kuliko zabibu,parachichi au embe dodo..kweli wewe ni bure wa hed..sasa mudi jangwani angekula nini zaidi ya vumbi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app