Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

Hivi sisi waislam agenda yetu kubwa ni TENDE!!? Like seriously!!? Wenzetu wanaomba misamaha ya kodi kwenye mashirika yao ya kutoa huduma za afya, elimu na masuala mengine ya muhimu kwa jamii. Sisi tupo na TENDE.

"Peleka wali mweupe kwenye sinia kwa mashekhe pale, peleka byriani sahani tatu pale"!!
 
Sisi tukipewa fursa ya kuonana na rais ishu zetu ni za kimkakati tu… elimu.. Afya.. Misamaha ya kodi.. Uwezekano wa kurudishiwa assets zetu zilizotaifishwa miaka hiyo.. Fursa mpya za uwekezaji nk.. Next time tutakumbuka kuweka tende kwenye agenda…
 
Huku unaponda na kule unapongeza.
Mudy jangwani kala tende kwa kudra ya ALLAH, tende tunda lililo barikiwa kuliko matunda yote mti wake unastawi jangwani kuliko mparachichi, muembe na mzabibu
Watu wanaforciwa kula matunda ya jangwani wanadai yamebarikiwa huko kungekuwa na matunda mengine hata wasingehangaika na tende

Mtu unarithishwa hata tende wakati kwenu sio jangwa
 
Bakwata kuihusisha na Waislam ni sawa na kuhusisha UWT na Wanawake wa Tanzania

Sisi Waislam tunahisi kutukanwa na kudhalilishwa sana tunapokuwa tunahusishwa kinguvu na hiki kikundi cha Bakwata kilichoundwa na Serikali
Hapo ndipo tunapowashangaa ndugu zetu bakwata hivi tende Tani 50 zinamsaidia vipi muislamu wa TANZANIA?
hawa waarabu nao sijui waliwaza nini Hadi kuja kudampo tende
 
Back
Top Bottom