BAKWATA ni tawi la Kanisa

Status
Not open for further replies.

Kwa hiyo mahakama ya kadhi itakuwa tawi la nini?
 
Kuna kitu kitakuwa hakipo sawa na kitawachanganya Waislam wenyewe.
Bakwata ni tawi la Kanisa au ni Tawi la CCM?
Kama ni tawi la kanisa, ni kanisa gani? Kama ni tawi la CCM, kivipi?
Kama ni tawi la vyote, kanisa na CCM mbona waislam wa jf ndio mashabiki wakubwa wa ccm? Hawajajua kuwa kwa kuipenda CCM wamelipenda kanisa?
 

BAKWATA ni Tawi la CCM, iliundwa baada ya kuvunjwa EAST AFRICA MUSLIMS WELFARE SOCIETY ambayo hii ndo ilikua kwa ajili ya waislam wote.
 

Huku tunakesha tukiomba baraka wanapewa watu weupe! bora turudie mila na tamaduni zetu tutatoboa
 
Kesheni kumtafuta Mungu siyo bakwata ukifa unazan utaulizwa ulikuwa unaijua bakwata au uliitetea bakwata kwa nn kila siku hatutumii akili zetu badala yake tunashikilia mtazamo wa MTU/watu mtafuteni Mungu kwa bidii ago mengine ya ninii?
 
Kesheni kumtafuta Mungu siyo bakwata ukifa unazan utaulizwa ulikuwa unaijua bakwata au uliitetea bakwata kwa nn kila siku hatutumii akili zetu badala yake tunashikilia mtazamo wa MTU/watu mtafuteni Mungu kwa bidii ayo a ninii?
 
]Kesheni kumtafuta Mungu siyo bakwata ukifa unazan utaulizwa ulikuwa unaijua bakwata au uliitetea bakwata kwa nn kila siku hatutumii akili zetu badala yake tunashikilia mtazamo wa MTU/watu mtafuteni Mungu kwa bidii ayo mengine ya nn ninii?[/QUOTE]
 
Ni tawi la kanisa gani?

Mkuu wewe ndo umemaliza mada.....! Siyo wengine wameanza kuchuangia na kurusha matusi bila kujikita kwenye hoja ya msingi. Walitakiwa wajue hilo tawi la kanisa ni la dhehebu gani? Big up mkuu.....
 
Reactions: SMU

Huko kwenye nchi za kikristo,waprotestant na wakatoliki wameuwana sana,hasa Irelanda ya kaskazini,na mpaka leo hakujatulia.Sudani ya kusini,wakristo wanauwana,Kongo wakristo wanauwana,Kusini Uganda wanauwana,Kenya wameuwana maelfu,Askofu Kibwetere kaua maelfu,wazungu wengi wameja nchi za Oman,Dubai,Qatar ,Bahrain,Abudhabi,Saud Arabia,Kuwait,nk.kwa kuona ndiko kuliko na Amani.
 

Nitahitaji maji mengi sana kumezea kauli yako. Huko wewe ndio unaona kuna amani? What about ISIS wapo wapi?
 
BAKWATA ipo under CCM ambayo ndio serikali. Kwa mujibu wa walalamishi wa kiislamu, serikali ni ya kikristo. Sasa hawajui wanapoichagua CCM wanachagua wakristo? Ukizingatia sehemu za pwani walipojazana waislamu ndio CCM huvuna kura za kumwaga.
 
Madhehebu ya kikristo yako mengi, sasa BAKWATA wamejiunga na lipi kakika haya

Katoliki
Kiprotestant
Kimedhodist
Kibatisti
Kiadventisti
au haya ya mitume na manabii wa uongo
 
Mmetutesa Wakristu weeee!!!,sasa ngoja mgombane wenyewe kwa wenyewe.
 
Sheikh Yahya Hussein aliwahi kusema ushawishi wa kuiua East African Muslim Society ulitokana na baadhi ya waislam.
Wanaomlaumu Kambarage wazingatie hilo.
 

Sikuwepo wakati nchi hii inaingia mikononi mwetu ila nilicho kikuta ni kwamba NCHI HII HAINA DINI kuwa SI YA WAISILAMU SIO YA WAKRISTO WALA FREEMASON WALA WALE WENYE IMANI ZAO WANAZO ZIJUA WENYEWE! hawa wenzetu sijui huwa wanatafutaga nn! Mf mahakama ya kadhi' na wakisto wana mahakama ipi? na kwa lipi haswa'! watakua na magereza yao au watawafunga misikitini!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…