Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,239
- 10,316
Kwani wale waliouwa ubalozi wa Marekani ni Wakristo peke yao? Hivyo bado hujaelewa bado utumbo wako uliuanika? Unapozungumza kuombwa radhi na BAKWATA eti Muislamu alifanya uharamia sasa unakatalia nini kukubali kuwa Kanisa libebe msalaba wa waumini wao wanaouwa Maalbino> Nafikiri utumbo unajichakachua!1
Na walioufa na kujeruhiwa Mwembechai walikuwa waislamu peke yao? Hivi waliokufa Pemba walikuwa wafuasi wa CUF peke yao.
Tupe ushahidi kuonyesha kuwa wakristu ndiyo wanaowauwa maalbino na kuwa wanatumwa na kanisa lao kufanya hivyo!
Amandla...