Hivi Bakwata waliwahi kuiomba msamaha jamii ya watanzania kwa kiendo cha Fupi na wenzake kulipua ubalozi wa Marekani? Au waliokufa na kujeruhiwa hawakuwa watanzania au watu? Mnaona how ridiculous hii blame game inavyoweza kuwa?
Amandla......
Out of point ndugu! Wale walioenda kulipua ubalozi wa marekani sio kama waliouwawa na serikali. Tunachokilaani ni kitendo cha serikali kutumia nguvu dhidi ya rai wake wenyewe badala ya kuwaacha wazungumze wanalolitaka au kuandamana. Huna point hapo jibu swali ndugu otherwise huu mjadala ufungeni msiwafatefate bakwata, uamsho, shura ya maimamu na wengineo wako BUSY!!!!