BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

Umenifurahisha hapo uliposema ya kwamba bakwata ni Baraza la kikristo kwa waislam wa tanzania uko sahihi kabisa.

Bakwata ni baraza la kikiristo lililopandikizwa na lile lijikafiri nyerere laana ya mungu iwe juu yake katika kuligawa hili taifa katika misingi ya kidini.

Hivi majuzi kuna habari zimeleak na kufika hadi ikulu kuwa kumbe issa shaaban bin simba hupata maagizo wakati mwingine kutoka kwa pengo.

Na kwamba pamoja na kwamba watu hao ni viongoz wa iman mbili tofauti lkn simba amekuwa chakubimbi wa pengo kwa miaka mingi na hurubuniwa kwa vijisenti uchwara kutokana na njaa zao.

Hakuna shaka bakwata ni mshirika wa karibu wa ccm na kanisa.

Sisi hilo tunalitambua ba tulichokifanya ni kuliacha baraza hilo liendelee na vitimbi vyake.kwan wao wanapanga na mungu pua anapanga.

Na hakika mungu ni mbora kabisa katika wapangaji wa mambo.

Hivi karibuni waislam tumejenga msitiki mkubwa sana tena wa kisasa ghorofa saafi kabisa wilayani newala.

Msikiti ambao huuwez kuupata kanda yoote ya kusini mwa tanzania isipokuwa newala.

Pamoja na kujenga msikiti huo kwa juhudi za wenyewe waislam tukaamua tuweke plan ya kujenga shule madrasa na zahanati.

Tumekamilisha mchakato ule tunachukua documents zetu tuzipeleke bakwata kwa ajili ya Registration wanasemaa oooh hatutaki kuisajili jumuiya hiyo kwa masharti hadi tuwapangie sisi utaratibu woote wa uongozi uendeshaji na umiliki.

Tukawaambia hilo haliwezekani.

Kwanza hii institution imejengwa kwa nguvu za waislam wenyewe.

Pili wenyewe ndio wanatambuana vyema na kujua nna ya kuchaguana.

Tatu iweje umiliki muuchukue nyinyi bakwsta ili hali hii ni mali ya waislam wenyewe na jasho lao??

Bakwata wakaja juu na kusema kwamba wao hawawez kuisajili hali iliyopelekea sisi kuchukua documents hizo na kupeleka kwa sheikh kundecha ambae ni amir wa jumuiya ya Baraza Kuu la waislam Tanzania.

Huko usajili utafanyika kwan nacho ni chombo kinachotambuliwa kusheria.

Kwa kuwa bakwata ilianzishwa na makafiri kwa interests zao wacha tuwaachie chombo chao sisi tuzid kusonga mbele.

So kwa kumalizia hoja yako.

Sisi tunajua ccm sio msaada kwetu na hata siku moja hatuwez kuweka tumain letu kwa wanasiasa hata hao chadema.

Hilo ukae ukilifaham.

We mtoto wa mwaka 1982 hebu tuliza mbupu. Huijui nchi hii na hutakaa uijue zaidi porojo za mikekani misikitini. Bakwata is there to stay hata CUF yenu ikichukua nchi.
 
Waislamu wanahitaji chombo imara cha kulinda mali zake na kuwawatetea pia kuwaletea maendeleo
 
mkuu umenena,ukristo ni nuru kuweka sehemu moja na bakwata ni tusi kwetu,mungu tunayemwabudu siye wakristo na wao waislamu ni tofauti kabisa.sisi imani yetu msingi mkuu ni BWANA WETU YESU KRISTO na waislamu ni mtume wao s.a.w ambaye alipokufa wafuasia wake waligawanyika nani atayemrithi mtume wao kati ya binamu yake mohamedi au mtoto wa mohamedi ndio yakatokea madhehebu mawili sunni na shiha.kwa upande wetu kanisa limeacha chini ya ungalizi wa ROHO MTAKATIFU AMBAYE NDIYE MSAIDIZI. ukristo hauwezi kushirikiana na meza ya mashetani kukinywea kikombe kimoja.

Hakika umefka mbali umesema mabaya mno kutufanansha ss na shetan jua alie kuumba ww ndo katuuumba na ss so umemkosea hadi muumba wako ndugu be care full din sio siasa ndugu
 
THE BIG SHOW

Huo ni ukweli usiopingika.

Vipi tena Dr. FaizaFoxy

Nini kifanyike kuondoa hali hii. Majibu kama haya si hadhi yako!Ebu funguka.

Acheni kusifia wengine kwa sifa wazizostahili na kupoteza muda wenu ilihali kuna mambo yanahitaji Michango yenu ya mawazo na hali kama hii ya Bakwata.
 
Last edited by a moderator:
Bakwata ni jinamizi kwa waislamu nchini, tangia 1968 kafiri mchonga meno alipoiuwa EAMWS na kuunda dude hilo. Bakwata ni wasaliti wa uislamu, malaya wa Kanisa. Je, ile kesi iliyofunguliwa high court dhidi ya Bakwata na Maalim Ally Bassaleh na wenzake imeishia wapi?
 
bakwata ni janga kwa waislam wa tanzania,
Viongozi wa bakwata wamejaa ujinga,nakujipendekeza serikalini.

Viongozi wa bakwata hawana mipango ya kimaendeleo hata kidogo.upeo wao nikukaa missikitini na kusubuli ssadaka na kuangalia huyu kavaa suruali ndefu au fupi.

Inauma sana kuona bakwata inasikilizwa sana na serikali ya ccm wakati taasisi nyingine za kiislam zinapuuzwa
 
ccmw wajinga sana 2010 waliwaahidi waislam kuwapa mahakama ya kadhi kumbe usanii ili wapewe kura.wakati mahakama ya kadhi ni ibada.kikwete kawasaliti waislam.
 
Dini yenyewe ilianzishwa kisiasa kama chama cha walalamikaji unategemea wataishi aje? c ni kupewa ubwabwa tu kisha wanakurupuka kuropoka?
Sasa hapo Umevuka mipaka Mbona yenu imeanzishwa kibiashara hatusemi nataman nichukue kichwa
 
Vipi tena Dr. FaizaFoxy

Nini kifanyike kuondoa hali hii. Majibu kama haya si hadhi yako!Ebu funguka.

Acheni kusifia wengine kwa sifa wazizostahili na kupoteza muda wenu ilihali kuna mambo yanahitaji Michango yenu ya mawazo na hali kama hii ya Bakwata.

Ni Waislam kuendeleza taasisi zingine ziwe na hadhi ya Kiislam na kuachana na wanafik BAKWATA.
 
Ni Waislam kuendeleza taasisi zingine ziwe na hadhi ya Kiislam na kuachana na wanafik BAKWATA.


Hapo ndiyo penye ukweli haswa!
Watu wakisema CCM wanafiki watakuwa wanakosea?
Maana umekuwa mtetesi mzuri wa hawa wanaovuana magamba na ilihali mwaka umeisha magamba hayataki kuvuka na mengine magumu yakiota chini ya Uenyekiti wa JK!


Mlolongo ni mrefu
Ila kuna haja tukubaliane kuwa Taasisi nyingi na hasa Wanasiasa na Taasisi wanzoongoza imetimili kwa Unafiki na mwisho Ufisadi Mkubwa chini ya JK-Ugonjwa amabao wamewaambukiza mpaka Taasisi za Imani/Dini toka Msikitini hadi Kanisani.



ESCROW account
billions hangs in balance - Mo Blog


Central Bank Governor, Professor Benno Ndulu.
But in an email sent to a MOblog reporter stated, Mr. Joe Cassano, a key figure who has been involved in the prolonged negotiations on behalf of Standard Chartered Bank Hong Kong, objected PAP ‘s decision to withdraw the Escrow Account money before settlement of the parties’ claims.
He says the Escrow Account was set up to safeguard the funds from Tanesco until all disputes around the creditors and investors in IPTL have been resolved.
“The recent ICSID (US-International Centre for the Settlement of Investment Disputes) has now set out a pathway to take this forward. Until this is completed we would not expect the escrow account to have been touched.


 
Hapo ndiyo penye ukweli haswa!
Watu wakisema CCM wanafiki watakuwa wanakosea?
Maana umekuwa mtetesi mzuri wa hawa wanaovuana magamba na ilihali mwaka umeisha magamba hayataki kuvuka na mengine magumu yakiota chini ya Uenyekiti wa JK!


Mlolongo ni mrefu
Ila kuna haja tukubaliane kuwa Taasisi nyingi na hasa Wanasiasa na Taasisi wanzoongoza imetimili kwa Unafiki na mwisho Ufisadi Mkubwa chini ya JK-Ugonjwa amabao wamewaambukiza mpaka Taasisi za Imani/Dini toka Msikitini hadi Kanisani.

"JK -Ugonjwa", aliyezianzisha hizo mbona alikufa zamani kazikwa Mwitongo, na ndiyo maana leo unaona tunaweza kuzijadili kiundani, thubutu wakati wake ujadili CCM au BAKWATA. Ulikuwepo?
 
acha chuki wewe jiheshimu

Hii thread ni ya 2011 mkuu, hebu iangalie vizuri usijefikiri ni ya jana. Well, msimamo wangu kuhusu hao jamaa wala haujabadilika. Uko pale pale!!!!

Wewe ni dini gan? Au ile aloanzisha Paulo mlaaniwa..
Mkuu, hii thread ni ya 2011 nadhani ulikuwa bado hujajua kuwa JF inaexist wakati huo. Well, mtazamo wangu hadi leo kuhusu hao mabwana ni ule ule wa 2011!!!! Usijefikiri hii thread ni ya jana. Inakuzidi umri hapa JF. No wonder it's too big for you to debate about!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom