BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

Hivi bakwata inawafanyia nini Waisilamu kama siyo kutumiwa tu na CCM?

Mimi ni Muisilamu lakini nakerwa sana na chombo hiki kinachodaiwa ni mwavuli wa Waisilamu wote nchini.

Hakina faida yoyote kwa Waisilamu na sasa hivi viongozi wake wanatia aibu kwa kukubali kutumiwa na wanasiasa na viongozi wa serikali ya CCM, tena bila hata ya faida yoyote kwao, achilia mbali shukurani.

Na kinachosikitisha zaidi ni kwamba haya ‘mateke ya punda' wanayapata chini ya uongozi mkuu wa nchi aliye madarakani ambaye ni Muisilamu.

Hivyo kinachoonekana ni kwamba baadhi ya viongozi hawa wa bakwata huhongwa kwa hela za muda mfupi tu.
Hapa nitatoa vielelezo vya kuonyesha kile ninachokisema:

Pamoja na kwamba ni juzijuzi tu JK alipigilia msumari wa mwisho kuhusu mahakama ya kadhi, Bakwata si tu imeufyata kabisa, bali pia inakubali kutumiwa na hiyo hiyo CCM kufanya ‘cheap' campaign kwa niaba yao kule Igunga.

Suala la DC wa igunga na Bakwata kukurupuka kumtetea ni mojawapo ya mambo yanayoonyesha ‘ukibaraka' wa viongozi wake, sijui kwa sababu ya umasikini? Suala la DC lilikuwa la kisiasa, lakini Bakwata wakaingilia kulifanya la kidini, na kama vile nilivyosema hawatapata shukurani yoyote kutoka CCM, bali mateke ya punda tu katika madai yao yote halali.

Kuna suala la OIC kadhalika – Bakwata ilishafungwa mdomo tangu zamani, lakini wanaume bado wamo tu na CCM!

JK aliwakera sana Waisilamu kwa kumleta Rais George W Bush wa Marekani, aliyesababisha vita Iraq na Afghanistan ambapo maelefu ya Waisilamu wamekufa na kuendelea kufa.

Kwanza wakati wa ujio wa Bush serikali ilipiga marufuku maandamano yoyote ya Waisilamu kuupinga ujio huo, lakini baadaye akina Kundecha walisimama kidete na yakaruhusiwa.

Mwaka 2007 JK alikwenda Vatikan kuonana na Papa Benedict, kuna picha ikimuonyesha akipiga magoti na kuubusu mkono wa Papa. Jee ilikuwa lazima aende huko? Mkapa, Mkatoliki, katika miaka yake 10 ya uongozi hakufikiria kufanya ziara ya namna hiyo.

Tukienda nyuma zaidi wakati wa Mzee Ruksa, Rais wa kwanza Muisilamu wa nchi hii. Serikali yake nayo ilikuwa na maudhi yake mengi dhidi ya Waisilamu:

Alimleta papa John Paul II mwaka 1990, kitu ambacho hata Nyerere mwenyewe Mkatoliki hakufikiria kukifanya.

Mwaka 1993 wakati serikali hiyo ya Mwinyi iliporekebisha siku za kazi kwa watumishi wa serikali kuwa siku 5 kwa wiki (yaani kuondoa Jumamosi kama siku ya kazi) pia alirudisha Sikukuu ya Boxing Day (December 26) hivyo Wakristu kuwa na jumla ya sikukuu nne za kidini kwa mwaka (e.g. Pasaka siku 2, Christmas na Boxing Day) – hivyo kwenda sambamba na Waisilamu ambao tangu zamani za Nyerere walikuwa na sikuu 4 za kidini kila mwaka (yaani Id el Fitr siku 2, id el-Hajj na Maulidi).

Lakini hapo hapo Mwinyi pia alirudisha Januari mosi kama sikukuu ambayo ilikuwa haipo tangu enzi hizo za Nyerere. Swali hapa: Kama aliweka Januari mosi kuwa siku ya mapumziko, siku ambayo ni mapumziko katika ulimwengu wa nchi za Kikristo, kwa nini, pia asiweke siku ya mwanzo wa mwaka wa Kiisilamu (tarehe mosi Muharram - Mfungo Nne) kuwa pia ni sikukuu ya kupumzika? Mwaka jana Waisilamu walisikika wakiiomba serikali nayo pia iiweke siku hiyo iwe ya mapumziko.

Tukiacha hilo kuna suala lile lenye mgogoro la Memorandum of Understanding (MoU) kati ya serikali na Makanisa. Waisilamu hawakuona ajabu kwamba hili lilianza chini ya utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi Muisilamu? Wangemuuliza kwa nini aliwasahau Waisilamu katika MoU?

Kwa ujumla pamoja na mambo yote haya yote hasi (negative) dhidi ya Waisilamu niliyotaja – bado Waisilamu wanaing'ang'ania CCM na kuitetea hata katika mambo cheap kabisa.

Wako wap akina Mponda, Kundecha na Sheikh Khalifa, viongozi machachari wa Kiisilamu waliokuwa wakiihenyesha serikali huko nyuma (eg katika sakata la mauaji ya Mwembe Chai)? Au tayari kwisha nunuliwa na CCM?

mkuu hapo kwenye wekundu una hiyo picha?
 
Hivi bakwata inawafanyia nini Waisilamu kama siyo kutumiwa tu na CCM?

Mimi ni Muisilamu lakini nakerwa sana na chombo hiki kinachodaiwa ni mwavuli wa Waisilamu wote nchini.

Hakina faida yoyote kwa Waisilamu na sasa hivi viongozi wake wanatia aibu kwa kukubali kutumiwa na wanasiasa na viongozi wa serikali ya CCM, tena bila hata ya faida yoyote kwao, achilia mbali shukurani.

Na kinachosikitisha zaidi ni kwamba haya ‘mateke ya punda’ wanayapata chini ya uongozi mkuu wa nchi aliye madarakani ambaye ni Muisilamu.

Hivyo kinachoonekana ni kwamba baadhi ya viongozi hawa wa bakwata huhongwa kwa hela za muda mfupi tu.
Hapa nitatoa vielelezo vya kuonyesha kile ninachokisema:

Pamoja na kwamba ni juzijuzi tu JK alipigilia msumari wa mwisho kuhusu mahakama ya kadhi, Bakwata si tu imeufyata kabisa, bali pia inakubali kutumiwa na hiyo hiyo CCM kufanya ‘cheap’ campaign kwa niaba yao kule Igunga.

Suala la DC wa igunga na Bakwata kukurupuka kumtetea ni mojawapo ya mambo yanayoonyesha ‘ukibaraka’ wa viongozi wake, sijui kwa sababu ya umasikini? Suala la DC lilikuwa la kisiasa, lakini Bakwata wakaingilia kulifanya la kidini, na kama vile nilivyosema hawatapata shukurani yoyote kutoka CCM, bali mateke ya punda tu katika madai yao yote halali.

Kuna suala la OIC kadhalika – Bakwata ilishafungwa mdomo tangu zamani, lakini wanaume bado wamo tu na CCM!

JK aliwakera sana Waisilamu kwa kumleta Rais George W Bush wa Marekani, aliyesababisha vita Iraq na Afghanistan ambapo maelefu ya Waisilamu wamekufa na kuendelea kufa.

Kwanza wakati wa ujio wa Bush serikali ilipiga marufuku maandamano yoyote ya Waisilamu kuupinga ujio huo, lakini baadaye akina Kundecha walisimama kidete na yakaruhusiwa.

Mwaka 2007 JK alikwenda Vatikan kuonana na Papa Benedict, kuna picha ikimuonyesha akipiga magoti na kuubusu mkono wa Papa. Jee ilikuwa lazima aende huko? Mkapa, Mkatoliki, katika miaka yake 10 ya uongozi hakufikiria kufanya ziara ya namna hiyo.

Tukienda nyuma zaidi wakati wa Mzee Ruksa, Rais wa kwanza Muisilamu wa nchi hii. Serikali yake nayo ilikuwa na maudhi yake mengi dhidi ya Waisilamu:

Alimleta papa John Paul II mwaka 1990, kitu ambacho hata Nyerere mwenyewe Mkatoliki hakufikiria kukifanya.

Mwaka 1993 wakati serikali hiyo ya Mwinyi iliporekebisha siku za kazi kwa watumishi wa serikali kuwa siku 5 kwa wiki (yaani kuondoa Jumamosi kama siku ya kazi) pia alirudisha Sikukuu ya Boxing Day (December 26) hivyo Wakristu kuwa na jumla ya sikukuu nne za kidini kwa mwaka (e.g. Pasaka siku 2, Christmas na Boxing Day) – hivyo kwenda sambamba na Waisilamu ambao tangu zamani za Nyerere walikuwa na sikuu 4 za kidini kila mwaka (yaani Id el Fitr siku 2, id el-Hajj na Maulidi).

Lakini hapo hapo Mwinyi pia alirudisha Januari mosi kama sikukuu ambayo ilikuwa haipo tangu enzi hizo za Nyerere. Swali hapa: Kama aliweka Januari mosi kuwa siku ya mapumziko, siku ambayo ni mapumziko katika ulimwengu wa nchi za Kikristo, kwa nini, pia asiweke siku ya mwanzo wa mwaka wa Kiisilamu (tarehe mosi Muharram - Mfungo Nne) kuwa pia ni sikukuu ya kupumzika? Mwaka jana Waisilamu walisikika wakiiomba serikali nayo pia iiweke siku hiyo iwe ya mapumziko.

Tukiacha hilo kuna suala lile lenye mgogoro la Memorandum of Understanding (MoU) kati ya serikali na Makanisa. Waisilamu hawakuona ajabu kwamba hili lilianza chini ya utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi Muisilamu? Wangemuuliza kwa nini aliwasahau Waisilamu katika MoU?

Kwa ujumla pamoja na mambo yote haya yote hasi (negative) dhidi ya Waisilamu niliyotaja – bado Waisilamu wanaing’ang’ania CCM na kuitetea hata katika mambo cheap kabisa.

Wako wap akina Mponda, Kundecha na Sheikh Khalifa, viongozi machachari wa Kiisilamu waliokuwa wakiihenyesha serikali huko nyuma (eg katika sakata la mauaji ya Mwembe Chai)? Au tayari kwisha nunuliwa na CCM?

Mkuu maneno sawa kabisa mkuu...bakwata hawafai na ccm hawafai

Ukiangalia muktaba uliopo unachagua better "evil"

Kwa hali ya waislamu ilivyo na madai yao..kuhusu OIC, MoU, na Mahakama ya Kadhi..etc

Kwa madai hayo msimamo wa Chadema =CCM =Maaskofu hakuna tofauti yeyote si chadema wala ccm watawasaidia waislamu kwa madai hayo

Why better evil..at least wakati wa JK na CCM kwa sasa waislamu hawapigwi mabomu na kuchonganisha bure...kama wakati uliopita

Besides amewapatanisha waislamu wenzetu huko zanzibar kitu ambacho chadema wako bitter nalo sana ...hawakitaki...

kwa mazingira yaliyopo ccm is better evil to muslims than chadema..hata maneno yao na vitendo vyao ni ki-waraka zaidi..

choose your position intellectually...
 
Kazi ipo!
 
Heil Hitler,
mkuu hapo kwenye wekundu una hiyo picha?

Ninavyokumbuka ni kuwa Kikwete aliwahi kumtembelea Mkuu wa nchi ya Vatican, Pope Benedict XV1 mwaka 2007 mwezi wa Oktoba.

kikwetepope.jpg

Ambalo linakosekana hapa ni vazi la hijab !
 
2sichanganye hoja,viongoz wale ni wa BAKWATA,na wala c waislam wote.bakwata ni km NGO,hvyo wale viongoz wanatetea ki2mbua chao kisiingie mchanga.
 
Ninavyokumbuka ni kuwa Kikwete aliwahi kumtembelea Mkuu wa nchi ya Vatican, Pope Benedict XV1 mwaka 2007 mwezi wa Oktoba.

kikwetepope.jpg

Ambalo linakosekana hapa ni vazi la hijab !

Aisee ...mkono wa kuume Mheshimiwa na wa uuke wifey....! Inaelekea walikuwa wameendea upako! Mimi natafuta ile aliyopiga magoti na kuubusu mkono wa papa....kama kweli ipo!
 
Mkuu maneno sawa kabisa mkuu...bakwata hawafai na ccm hawafai

Ukiangalia muktaba uliopo unachagua better "evil"

Kwa hali ya waislamu ilivyo na madai yao..kuhusu OIC, MoU, na Mahakama ya Kadhi..etc

Kwa madai hayo msimamo wa Chadema =CCM =Maaskofu hakuna tofauti yeyote si chadema wala ccm watawasaidia waislamu kwa madai hayo

Why better evil..at least wakati wa JK na CCM kwa sasa waislamu hawapigwi mabomu na kuchonganisha bure...kama wakati uliopita

Besides amewapatanisha waislamu wenzetu huko zanzibar kitu ambacho chadema wako bitter nalo sana ...hawakitaki...

kwa mazingira yaliyopo ccm is better evil to muslims than chadema..hata maneno yao na vitendo vyao ni ki-waraka zaidi..

choose your position intellectually...

Ipo kazi! Mtoa mada hakuitaja kabisa Chadema popote. Hata hivyo ni CCM hiyo hiyo iliwapiga mabomu Waisilamu huko Zanzibar na Pemba, 2001 na 2006, na hapa Dsm 1998 na 2002 (mwembechai) -- niambie Chadema imewapiga Waisilamu wapi mabomu, lini na sehemu gani. Madai yote ya Waisilamu yamekataliwa na CCM, yoote na wala hawasemi fyoko, badala yake wanalamika pembeni, mfano humu JF. Sasa mnatumiwa na CCM wanavyotaka na kwa utii mkubwa.

Yaani Waisilamu hamueleweki kabisaaaa!
 
Sijui itakuwa vipi endapo CDM ikiingia madarakani, ikaamuwa kuwa Waisilamu Mahakama yao ya Kadhi na OIC. Msishituke, inawezekana kabisa. Cha kujiuliza ni jee -- Waisilamu watakataa kwa kuwa offer imetolewa na serikali ya "Kikiristo?"
 
We go for better evil...as of now ccm = chadema as far as madai yetu ya msingi i.e. OIC, Mahakama ya kadhi, MoU etc..

Besides..tumeshaomba kwa maandishi msimamo wa chadema kuhusu haya mambo na hata hapa JF nimeanzisha thread...hakuna cha Slaa wala Mnyika aliye respond kuonyesha msimamo wao..japo majibu ya wengi fans wao ni dharau tu..ambazo ni sawa zilezile za ccm...

Ukiangalia vitendo vya fans wao case of DC igunga unaweza kufikia conclusion kuwa ..unaweza kuruka moshi ukakanyanga moto...

Waislamu hawatasaidi na chadema wala ccm as far as madai hayo ya msingi...

Hata wasipoichagua ccm, hawana sababu ya kuichagua chadema pia...ni sawa na kuruka moshi na kukanyanga moto..

Muslim kwa mazingira haya ya dhararu unaangalia "better evil" because both are evils
 
Tutaiunga mkono kwa maandamano makubwa...I will be the first to organize
 
Hivi huwa najiuliza ..wasomi wote wa kiislam wamejificha wapi wakati huu? Tumesikia akina Prof . Safari ..., hapa JF kuna akina Mkandara na wengine wachache wanaochangia kwa hoja zenye mashiko! Hivi wasomi wooote wa kiislam wapo wapi wakati huu dini yao inapochafuliwa na hawa mashehe uchwara ? wanaogopa nini kutoa maoni yao hadharani au kukemea hali hii?
eti better evil...! vichekesho vingine vinaudhi kweli!
 
You tuned to hear what u like it most...and therefore must come from Prof. Safari mwanachama wa chadema and Mkandara (mpenzi wa chadema)

Our analysis as of now as a muslim leader this two parties are both evils..unachotakiwa kuangalia na kuchagua better evil
 
What a bunch of losers...! kwa mtaji huo mtaendelea kutumika kama mipira ya uume mpaka mtakapofika ahera! pole sana!
 
Time will tell..hata wakoloni walisema hayo..na hao hao waislamu wakaleta uhuru Tanganyika..

Mkuu either ni chadema au CCM au CUF madai yetu tutapata tu nikwambie ukweli wakati kwetu si tatizo

Madai yatapatikana kwa hekima au kwa lazima period
 
hii kitu ya 'better evil' haiingii akilini mwa mtu wa kawaida.....yaani ni sawasawa na katoto kaliko lawitiwa sana katika maisha yake halafu watu wakitaka kukasaidia kanakataa na kutaka kuendelea kulawitiwa tu......! Imefikia pabaya sana jinsi CCM inavyoitumia BAKWATA kui abuse Dini yenu Tukufu ya Kiislam..!
 
Fatuma Joseph Kimario DC wa Igunga ataoza mwanaye wa mwisho anayeitwa Vivian Kimario ambaye amemaliza masomo yake mwaka jana chuo cha IFM na ndoa itafanyika katika kanisa la St.Peters Dsm , BAKWATA MPO.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom