ben genious
Senior Member
- Jun 4, 2011
- 176
- 23
jamani kinachofaa kwa sasa sisi waislam ni kuaandaa mipango imara, kuimarisha shule na watoto katka elimu dunia na iliyobaki (akhera) lasivyo hatuta fiti popote pale! wenzetu wameamka katika elimu je sisi ni kama wao? jibu hapana. tujipange mbele, yashapita tuanze sasa.