Hata Wahaya huko Bukoba Kanzu ni Vazi Lao la Asili
RC inapigania pia kujisajili CCM kinyemela,tutapambanaBakwata siyo taasisi huru,kwa waliosoma "SIASA"ambayo sasa ni Civics tuliambiwa ni jumuiya ya CCM
1)-UVCCM
2)-UWT
3)-TAPA(JUWATA)
4)-BAKWATA
5)-.............ukiimalizia hii utajua ni kwanini walisema "kuna jumuia tano (5)za chama cha mapinduzi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]RC inapigania pia kujisajili CCM kinyemela,tutapambana
in waislam wasiokuwa na elimu ndio watakaoshabikia bakwata ila kwa muislam anaejitambua na mwenye msimamo we haki hawez kuishabikia hii kitu in mbaya kwa waislam lakin maskin napatwa na uchungu sana ninapowaona waislam wakishabikia hii kitu.Inakuwaje waislam wamekubali kuwekwa mfukoni kwa kupitia bakwata?
kitakuwepo VP na wakat yenyewe serikal ndo wameiweka hyo bakwataKatika Katiba ya bakwata hakuna kipengere kinaitaka kuikemea serikali.
Katika Katiba ya bakwata hakuna kipengere kinaitaka kuikemea serikali.
serikal gan itakubal kuunda taasisi nyingne ya waislam Tanzania na wakat Tatar IPO. kikubwa ni kuwapinga tu na waislam kushika msimamo was haki na kuachana na msimamo ya kidhalimuKama mnaona bakwata ni kama sehemu ya genge la wahuni. sasa nyinyi ambao mnautambua uislam wa kweli undeni taasisi yenu kwa jina lingine ambayo itakuwa huru.
km huujui uislaam vizur uliza, kwenye uislam ukiachana na makafir waliotajwa km wakosa wametajwa washirikina na wanafiki na haya makund mawil wamo miongon mwa waislam na hao wote makaz yao moton kwa hyo hao bakwata wanaingia kwenye kind mojawapo au hats yote matatu kwa baadh ya viongoz wanaojua kuwa wapo hapo sio kwa maslah ya waislamKwani waliowekwa kuiongoza hiyo BAKWATA ni wakristo au wahindu? Si ni waislam hao hao? Hapo maana yake ni nini?
Nao ni waislam wenzenu hao, tena wanewazidi sufa na kupewa uongozikm huujui uislaam vizur uliza, kwenye uislam ukiachana na makafir waliotajwa km wakosa wametajwa washirikina na wanafiki na haya makund mawil wamo miongon mwa waislam na hao wote makaz yao moton kwa hyo hao bakwata wanaingia kwenye kind mojawapo au hats yote matatu kwa baadh ya viongoz wanaojua kuwa wapo hapo sio kwa maslah ya waislam
msimamo na mafundisho ya uislam ni tofaut na matendo ya bakwata ni kwel uislam haujaturuhusu kuitukana serikal lakin pia haututaki tuwe na mafungamano nao ictoshe hats km ww ukiwa na akili timamu kwa kuangalia mienendo ya bakwata vizur huwez kuwasapot kwao wao hakuna tofaut ya kafir na muumin na ndo maana unaweza kuwakuta kwenye sherehe zisizokuwa za kiislam wapo na wakiombwa waombe dua kwa ajiri ya makafir wao wanafanya hivyo na wakat wanafaham kua km MTU amefarik wakat bado n kafir huyo hana msamaha wowote mbele ya munguMkuu, natamani udadavue kidogo kwa faida ya wengi, ni vipi bakwata haiwakilishi watz?8)
viongozi wake ni waislamu wasariti a.k.a popo kwa jina lingine wanafiki(munafikun)Hebu njoeni na vitu bhanaa.. Achaneni na majibu ya dry, sasa kama si ya waislam, je, kuna wajumbe wakristo mule? Kama haiwalilishi waislam, inawakilisha nini hapa tz?8)
Duh, cheki mufti alivyokenua...View attachment 668040
Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya
Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAKWATA mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM
msimamo na mafundisho ya uislam ni tofaut na matendo ya bakwata ni kwel uislam haujaturuhusu kuitukana serikal lakin pia haututaki tuwe na mafungamano nao ictoshe hats km ww ukiwa na akili timamu kwa kuangalia mienendo ya bakwata vizur huwez kuwasapot kwao wao hakuna tofaut ya kafir na muumin na ndo maana unaweza kuwakuta kwenye sherehe zisizokuwa za kiislam wapo na wakiombwa waombe dua kwa ajiri ya makafir wao wanafanya hivyo na wakat wanafaham kua km MTU amefarik wakat bado n kafir huyo hana msamaha wowote mbele ya mungu
View attachment 668040
Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya
Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAKWATA mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM
hawana lolote hao hlo ni jambo moja LA uovu palipo maovu mengMkuu wa kuongezea tu siku hzi mashekhe wa BAKWATA wanafungisha ndoa wakat mwanamke akiwa mjamzito. Sasa sijui hawafaham au ni ubishi wao.
Sio genge lawahuni usijipe kazi ya kuhumu waache wajitathimini wenyewe napia wamuokope mungu kuusu kuunda chombo kingine kitakacho izidi bakwata haiwezekani serekali na hiyo bakwata wanajuwa wanacho kifanya sasa hao viongozi wa bakwata wajiulize wanatakiwa kufanya kazi kwa ajili yamungu au serekali kwamaana kati yahii serekali kuwepo ilitangulia imani watambue IPO siku serekali itasapoti ushoga mizali viongozi wa dini wataendelea kuitumikia serekali kuliko munguKama mnaona bakwata ni kama sehemu ya genge la wahuni. sasa nyinyi ambao mnautambua uislam wa kweli undeni taasisi yenu kwa jina lingine ambayo itakuwa huru.
Kwa hiyo unamaanisha kwenye hiyo picha ya waliovaa kanzu kuna mnafiki si muumini, au?
Sio kila anaevaa Kanzu ni Mchungaji /Padri/Sheikh / Muumini wa dini fulani.
Ni vazi la kawaida.
Na wanafiki pia huvaa. Umeelewa?
Taasisi za kiisilamu zipo nyingi hapa Tanzania kama ilivyo kwa Wakristo hivyo kama ni maoni ya watu wa Bakwata nisawa lkn yasitafsiriwe kama maoni ya waisilamu woteView attachment 668040
Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya
Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAKWATA mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM