BAKWATA ilishawekwa mfukoni, usitegemee itakemea mabaya ya Serikali

BAKWATA ilishawekwa mfukoni, usitegemee itakemea mabaya ya Serikali

View attachment 668040

Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya

Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAKWATA mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM
Hakuna ubishi bakwata ni taasisi ya ccm. Haiingii akilini vp serikali ya mkoa ifadhili ujenzi wa ofisi za bakwata kama co chombo Chao, sijawahi kusikia serikali ikagharamia ujenzi wa makanisa ni wenyewe waumini wanachangishana na wanahangaika kutafuta wafadhili lakini co serikali. Ndio maana mpaka leo hatujasikia bakwata ikiwashulikia masheikh wanaoteseka magerezani kwa muda mrefu.
 
View attachment 668040

Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya

Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAKWATA mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM
Kwani ulitaka bakwata wapayuke kama kakobe?
Chadema si mnao mashekhe wenu wa Answar sunni akina Katimba na Ponda watumieni basi kuleta vurugu
 
Sina jibu na sikai kimya shabashii...
Siongei namshamba Mimi ni muislam kwetu katika dini hakuna kitu kinatambulishwa hivyo bakwata siosababu kutukana uislam kwanza mtume hakuiwacha hiyo bakwata tafadhali usitutukanie dini ninakusihi we karifi
 
BAKWATA.....jina ka kinyesi shabashiii!!
 
Mkiona ile escort ya sheikh wa mkoa mtajua bakwata ni akina nani kiudani
 
Back
Top Bottom