BAKWATA ilishawekwa mfukoni, usitegemee itakemea mabaya ya Serikali

BAKWATA ilishawekwa mfukoni, usitegemee itakemea mabaya ya Serikali

Unakiita chama kilichosajiliwa kwa sheria ngo ili ujulikane umbumbu wako kichwani... ndo mana mpaka leo hujui TOFAUTI kati ya

Nachelea kujibizana nawe kawa sababu
1. Hujui historia ya Tanzania!
2. Hujui historia ya uislamu vs nyerere
3. Baadae utakimbilia kuniita wa ufipa.
Bakwata haiwakilishi watanzania hili mpaka uwe na akili timamu ndiyo ujue vinginevyo hutakaa ujue.
Mkuu, natamani udadavue kidogo kwa faida ya wengi, ni vipi bakwata haiwakilishi watz?8)
 
Leo Watu wanakiri kuwa Ni Kweli Bakwata ilianzishwa na Serikali!

Waislam wamekuwa wakimlaumu Nyerere kwa jambo hilo kwa zaid ya Miaka 50 wamekuwa wakiitwa Wadini
Leo vyuma vimekaza wameanza kukiri kuwa Bakwata ni Chombo cha Serikali!

Akina Sheikh Ponda wamekuwa wakiitwa Siasa kali Mara magaidi kwa kuchanganya Siasa na Dini Leo vyuma vimekaza Watu wanaanza kukiri ni sahihi kuchanganya dini na Siasa

Magu angeahirisha Mpango wake wa kulipa madeni ya 200 billion ili vyuma vizidi kukaza ili twende sawa
 
Hivi na wewe unasemaga BAKWATA ni taasisi ya kiislam?
Hebu njoeni na vitu bhanaa.. Achaneni na majibu ya dry, sasa kama si ya waislam, je, kuna wajumbe wakristo mule? Kama haiwalilishi waislam, inawakilisha nini hapa tz?8)
 
Unakiita chama kilichosajiliwa kwa sheria ngo ili ujulikane umbumbu wako kichwani... ndo mana mpaka leo hujui TOFAUTI kati ya

Nachelea kujibizana nawe kawa sababu
1. Hujui historia ya Tanzania!
2. Hujui historia ya uislamu vs nyerere
3. Baadae utakimbilia kuniita wa ufipa.
Bakwata haiwakilishi watanzania hili mpaka uwe na akili timamu ndiyo ujue vinginevyo hutakaa ujue.
Kwani ngo haisajiliwi kwa sheria?
 
Hawa bakwata kuwatia mikononi ni ishu ndogo sana hata leo hii mimi na wewe tunaweza kabisa kama unabisha jaribu kuwapa tende na nyama ya ngamia...
Au subiri kipindi cha mfungo wape msaada wa mbuzi wawili tu
Daaaaa ila dharau zote hizi zinasababishwa na viongozi wetu#Zuber
 
Tunapoelekea kwenye mambo ya kidini muda si mrefu tutakuwa kama afrika ya kati.

Serikali iliangalie hili.
 
Siyo kila anaevaa Kanzu ni Muislamu. Kanzu ni vazi la kawaida Mashariki ya Kati.
 
Leo Watu wanakiri kuwa Ni Kweli Bakwata ilianzishwa na Serikali!

Waislam wamekuwa wakimlaumu Nyerere kwa jambo hilo kwa zaid ya Miaka 50 wamekuwa wakiitwa Wadini
Leo vyuma vimekaza wameanza kukiri kuwa Bakwata ni Chombo cha Serikali!

Akina Sheikh Ponda wamekuwa wakiitwa Siasa kali Mara magaidi kwa kuchanganya Siasa na Dini Leo vyuma vimekaza Watu wanaanza kukiri ni sahihi kuchanganya dini na Siasa

Magu angeahirisha Mpango wake wa kulipa madeni ya 200 billion ili vyuma vizidi kukaza ili twende sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Vyuma vimeunganisha watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani waliowekwa kuiongoza hiyo BAKWATA ni wakristo au wahindu? Si ni waislam hao hao? Hapo maana yake ni nini?
Maana yake kuwa waislamu hawawezi kusema lolote serikali,lakini serikali si inaongozwa na wakristo?? Maana yake nini mkuu??na haya madhila yote tuyapatayo
 
Unakiita chama kilichosajiliwa kwa sheria ngo ili ujulikane umbumbu wako kichwani... ndo mana mpaka leo hujui TOFAUTI kati ya

Nachelea kujibizana nawe kawa sababu
1. Hujui historia ya Tanzania!
2. Hujui historia ya uislamu vs nyerere
3. Baadae utakimbilia kuniita wa ufipa.
Bakwata haiwakilishi watanzania hili mpaka uwe na akili timamu ndiyo ujue vinginevyo hutakaa ujue.
BAKWATA inawawamilisha waislam, labda kama utaqavua uislam wale waislam wote walio upande wa BAKWATA. Ni ujinga kuendelea kuipinga BAKWATA, hata miaka hiyo ilikuwepo TANU ikabadirishwa na kuwa CCM ni mwehu tu ndiye atakayeanza kudai haitambui CCM bali TANU. Palikuwepo na Tanganyika na sasa tuna Tanzania, mbona kwenye maswali yako umedai siijui historia ya Tanzania badala ya Tanganyika? Kubalini tu kuwa BAKWATA ndiyo chombo chenu mjiunge nacho mkakijenge na kukikomboa kutoka mikononi mwa Bashite ambaye akitoka kupiga magoti mbele ya Pengo anakwenda moja kwa moja kuwapa maagizo Mufti/BAKWATA, ambao nao wana waagizeni ninyi.
Hata kingekuwepo hicho chombo mnacho dai kuwa kilivunjwa, viongozi wenu wangekuwa ni hawa hawa sema mnajengewa tabia za kulakamika lalamika na watu wenye vinyongo baada ya kukosa uongozu na channels zao kukatwa.
 
Hebu njoeni na vitu bhanaa.. Achaneni na majibu ya dry, sasa kama si ya waislam, je, kuna wajumbe wakristo mule? Kama haiwalilishi waislam, inawakilisha nini hapa tz?8)
Unajua mtu mfano akikwambia fulani ni baba wa familia,kuna namna unategemea baba awe,kuna sifa za mtu kuwa baba,unavyosema BAKWATA ni taasisi ya kiislam bila shaka unataja umuhimu mkubwa na mpana wa hiyo taasisi kwa watu inao waongoza,ukiwa na taasisi ambayo yenyewe ndio kwanza inaleta migogoro,chanzo cha ufujaji wa mali za waislam,haiwezi kutatua hata migogoro ya waislam na jamii kwa ujumla unawezaje kusema hiki ni chombo ambacho kina hudumia jamii kubwa ya watu.Hayo ni kwa uchache tuu,BAKWATA ili replace EAST AFRICAN MUSLIMU WALFARE SOCIETY ambayo ilifanya mambo makubwa sana katika maendeleo ya waislam Afrika mashariki ikiwemo kuanzisha vyuo,vituo mbalimbali vya afya nk sasa hata mazingira ya namna gani ile taasisi ilivunjwa na ikaundwa BAKWATA huwa yanatia shaka mpaka kesho,na BAKWATA hata nukta ya jitihada ambazo zilikuwa zinafanywa na hiyo taasis haijaweza sana sana ni kuhujumu hata jitihada chache zilizo baki kama masalia ya hiyo taasisi kongwe
 
Watu hawajui lengo la kuunda BAKWATA. Lengo lake halikua kama tunavyoambiwa ilikua ni kama kuwanyamazisha waislam wasiww na saut ktk kudai haki hapa nchini. Mfano mzuri ni km sasa hv maaskofu na wahudumu wa kikristu wanavyopaza sauti kuhusu awamu ya Tano, ndipo serikal ikaona kuna haja ya kuunda chombo ambacho chenyewe ndio kitatumika kama kuwanyamazisha, mtu pekee ambaye atakua reliable kuongelea mambo ya waislam bas atoke Bakwata.
Hiki chama uchaguzi wake wanafanyia hata kwenye sehem za starehe bagamoyo huko. Na wanavyochaguana wanajua wenyewe.
Muft anapewa gari na ruzuku kutoka serikalin unategemea aiseme serikali, kweli?
Ndio maana wengine tunasema tafsiri ya BAKWATA ni
Balaa
Kuu la
Waislam
Tanzania.
 
Back
Top Bottom